Enyi wazee wa Kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya

Enyi wazee wa Kiafrika wenye miaka 60 kazini ondokeni achieni vijana nafasi kwasababu wana ujuzi mpya

Hakuna elimu mpya utapewa chuo kabla ya sehemu ya ajira.

Hizo skills mpya wataanza kupewa wao kupitia training za kazi kabla ujafundishwa wewe chuo.

Kama muhitimu una skills kushinda walioajiriwa, hiyo taasisi itakuwa na uzembe kweli kweli (upande wa HRM).

Shida kubwa ya Tanzania ni kutokuwa na (career advice centres) kuanzia O’level, A’level na universities.

Graduates are not realistic on their job prospects, wamekariri mwajiri ni serikali na haki yao kupata ajira..

Ndio msingi wa mada kama hizi,

Wanaelewa basi au kuona mantiki ya hoja kama hizi wahusika wenyewe.
 
Back
Top Bottom