Enzi ninajiunga na JF

Enzi ninajiunga na JF

Mwisho ulimpa reaction gani huyo kaka?

-pole... kijijini kwetu tulifunzwa sio vizuri kumsema mtu kwa dhiki yake au kwa alivyo.

-Unahitaji EI kudeal na watu...sioni pointi kabisa ya kumtumia au hata kumwelezea Sky Eclat Khantwe alivyo kama tunafahamiana.
Ngoja na mm ni subiri akujibu ili nijue mwisho wa yote kilitokea nn, maana haka kastori kanasisimua sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa single, kuna kaka mmoja alinifuata inbox, tulianza kuchat. Kaka yuko romantic kama vyote. Moyo ukayeyuka. Nikamtumia picha yangu kwa mahaba yote.

View attachment 1000467

Nilikuja kuona amecomment kwa rafiki yake kuwa ametumiwa picha ya sanamu la Michelin.

Hivi ndiyo vituko vya JF.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

the Legend☆
 
Back
Top Bottom