Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 154,929
- 459,607
Anakuonea huruma jamaniUnacheka nini eti
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anakuonea huruma jamaniUnacheka nini eti
Mwanaume wa pekee wewe una huruma mnooo[emoji16][emoji16][emoji16] huruma tu shunie wengine tumeumbwa hivyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Ebu tutoke tukalaleMwenyewe
Hahaha hahahaAnakuonea huruma jamani
Sawa dadaEbu tutoke tukalale
Ngoja na mm ni subiri akujibu ili nijue mwisho wa yote kilitokea nn, maana haka kastori kanasisimua sana.
Hapo na ban zinatembea na Uzi kufungwa juu teh. Vivuruge hatari[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umemsahau manengelo demi Neybright Heaven Sent
[emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Uliogopa nini kumtumia picha ya kwako!Nilikuwa single, kuna kaka mmoja alinifuata inbox, tulianza kuchat. Kaka yuko romantic kama vyote. Moyo ukayeyuka. Nikamtumia picha yangu kwa mahaba yote.
View attachment 1000467
Nilikuja kuona amecomment kwa rafiki yake kuwa ametumiwa picha ya sanamu la Michelin.
Hivi ndiyo vituko vya JF.
Haha usinikumbushe mama kubwa, mtu akiamua kukudiss jamani. Simu hainitoshi kwa selfie, napigia kwa tablet tu ndo screen inatosha sura yote@heaven sent njoo mama nimekumiss.
Sasa sijui tunafanyaje hapo tena. Nibipu hebu..
Hatuna la kufanya, mambo yalishatokea cha muhimu huyo shosti apige moyo kondeSasa sijui tunafanyaje hapo tena. Nibipu hebu..
Sawa sawaHatuna la kufanya, mambo yalishatokea cha muhimu huyo shosti apige moyo konde
Sent using Jamii Forums mobile app
🤣😂😂😂😂Hapo na ban zinatembea na Uzi kufungwa juu teh. Vivuruge hatari
🤣🤣🤣🤣🤣Haha usinikumbushe mama kubwa, mtu akiamua kukudiss jamani. Simu hainitoshi kwa selfie, napigia kwa tablet tu ndo screen inatosha sura yote
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nilikuwa single, kuna kaka mmoja alinifuata inbox, tulianza kuchat. Kaka yuko romantic kama vyote. Moyo ukayeyuka. Nikamtumia picha yangu kwa mahaba yote.
View attachment 1000467
Nilikuja kuona amecomment kwa rafiki yake kuwa ametumiwa picha ya sanamu la Michelin.
Hivi ndiyo vituko vya JF.
Na wenyewe si walituchamba na manyonyo yetu kama matikiti ya Moro hahaha[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mama kubwa alivurugwa hatari, yaani nilicheka ile siku.