Enzi za Dola ya Roma walichaguliwa wenye bikra kutumikia madhabahu. Hawa walipewa heshima kubwa katika jamii

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
57,761
Reaction score
216,011
1637509171472.png
Utaratibu kama huu unaweza kurudisha heshima ya bikra katika jamii na wana wari kujitunza mpaka ndoa.
 
Akina dada ambao hamna bikra mtajuta kutoa mzigo bila kusajiriwa katika taasisi ndoa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo ni kuwa dunia ya sasa imejaa visivyo halisi kabisa.

Hata wakiambiwa mabikra jitokezeni ili mtumikie madhabahu ya Bwana, watajitokeza wengi tu ambao wanajua fika kwamba wao si bikra.
 
Ongea Kiswahili Mkuu 😂😂😂😂😂
 
Tatizo ni kuwa dunia ya sasa imejaa visivyo halisi kabisa.

Hata wakiambiwa mabikra jitokezeni ili mtumikie madhabahu ya Bwana, watajitokeza wengi tu ambao wanajua fika kwamba wao si bikra.
Hawa walichukuliwa kuanzia miaka 6. Sema utaratibu huu unaweza kuharibiwa na wwnye jukumu la kuwa Lea.

Upate utajiri wa kichawi uambiwe kafara lako ni kuvunja bikra ya kigori.
 
Siku hao wachungaji wenyewe ndio mabingwa wa kutafuna kondoo ndama.
 
Ndiyo chanzo cha wacatholic kuwa na watawa wa kike.
 
Back
Top Bottom