Enzi za Hayati Magufuli Leo angeondoka na Vichwa kariakaoo

The Burning Spear

JF-Expert Member
Joined
Dec 23, 2011
Posts
4,118
Reaction score
9,864
Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani.

Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga
 
Ilileta tija ipi fukuza fukuza yake? Kwasababu aliishia lufurahisha mbulula kama wewe ambae hujui chochote kuhusu kodi tatizo likabaki pale pale
 
Huko inaitwa kucheza na JUKWAA. Unakata chenga nyingi unapiga matobo na makanzu, unapigiwa makofi lakini hufungi goli.

Huo UJINGA wa kutumbua wafanyakazi kwenye jukwaa ili upigiwe makofi ulizikwa na kichaa wa Chato Machi 2021.

Njia bora ni umepata tatizo, sikiliza pande zote mbili, pata na ushauri wa watu wako kwenye sekta ongeza na washauri wa ofisi yako kisha chukua hatua.

Uongozi ni hekima, busara na kipaji. Magufuli hakuwa na vyote hivyo ndiyo maana alikuwa anapuyanga kwa maguvu
 
Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani.

Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga
Dictator
1684171081132.jpeg
 
Huko inaitwa kucheza na JUKWAA. Unakata chenga nyingi unapiga matobo na makanzu, unapigiwa makofi lakini hufungi golf.

Hata mgomo usingetokea angenyaka taarifa mapema akanyoa watu kwa chupa.

Hadi watu wanafikia Hatua ya kugoma maana yake
serikali ni hopeless haijali matatizo ya raia wake.

Mgomo ni uamuzi wa mwisho katika kuvumilia manyanyaso
 
Ilileta tija ipi fukuza fukuza yake? Kwasababu aliishia lufurahisha mbulula kama wewe ambae hujui chochote kuhusu kodi tatizo likabaki pale pale
Nyie ndo mnaotumwa kusumbua wafanya biashara na kudai rushwa.

Kama biashara ni rahisi fungueni magoli yenu kariakoo Maana mmezoea vya bure
 
Huko inaitwa kucheza na JUKWAA. Unakata chenga nyingi unapiga matobo na makanzu, unapigiwa makofi lakini hufungi golf.

Huo UJINGA wa kutumbua wafanyakazi kwenye jukwaa ili upigiwe makofi ulizikwa na kichaa wa Chato Machi 2021.

Njia bora ni umepata tatizo, sikiliza pande zote mbili, pata na ushauri wa watu wako kwenye sekta ongeza na washauri wa ofisi yako kisha chukua hatua.

Uongozi ni hekima, busara na kipaji. Magufuli hakuwa na vyote hivyo ndiyo maana alikuwa anapuyanga kwa maguvu
Kuweni na akiba ya maneno nyie,mara nyingi mwenye hekima hamalizi maneno.

Nimeshauri mimi sina hizo team zenu za siasa.
 
Wakati wake isingetokea hii, imetokea sababu ya serikali kuichekea bandari na TRA kula rushwa hovyo.
Kifupi ni kwamba wanaandamana mazingira ya rushwa imekua too much na tofauti na awamu iliyopita.

JPM alikuwa hawezi entertain huu uxenge, TRA na bandari wangewajibishwa si kitoto. Unaichekea nyani ukidhani itaacha kula mahindi kwenye shamba lako eti kisa upendwe😂.

Hata huku kuandamana wasingefika ungesikia tu hao wala rushwa wanaliwa vichwa juu kwa juu.
 
Hata mgomo usingetokea angenyaka taarifa mapema akanyoa watu kwa chupa.

Hadi watu wanafikia Hatua ya kugoma maana yake
serikali ni hopeless haijali matatizo ya raia wake.

Mgomo ni uamuzi wa mwisho katika kuvumilia manyanyaso
Siyo kweli labda wewe hujasoma elimu sahihi masuala haya. Vyama vya wafanyakazi ambavyo wafanyakazi wanakatwa fedha zao kama TUGHE, TUICO etc ambavyo viko kwenye Shirikisho la Vyama Wafanyakazi, kisheria vunaruhusiwa kufanya migomo.

Migomo ni njia ya kufikia suluhisho la malalamiko yao. Hivyo kumsifia Magufuli kuwa angewakata vichwa na dalili ya kuonyesha kuwa utawala wake ulikuwa wa KIDIKTETA
 
Hivyo vyama viligoma lini.?. Acheni mikodi ya kidwanzi mnaumiza raia
 
Wakati wake isingetokea hii, imetokea sababu ya serikali kuichekea bandari na TRA kula rushwa hovyo.
Kifupi ni kwamba wanaandamana mazingira ya rushwa imekua too much na tofauti na awamu iliyopita.

JPM alikuwa hawezi entertain huu uxenge, TRA na bandari wangewajibishwa si kitoto. Unaichekea nyani ukidhani itaacha kula mahindi kwenye shamba lako eti kisa upendwe😂.

Hata huku kuandamana wasingefika ungesikia tu hao wala rushwa wanaliwa vichwa juu kwa juu.
Well said
 
Watumishi wa umma Kwa sasa wamejaa viburi na dharau wanajua fika kabisa Mzee Baba hayupo na serikali ni dhaifu Bin taabani.

Enzi zile Kelele hizi zingelambisha watu mchanga Leo, ila ndo hivyo tena hii serikali yakustwa tu afu unaachwa uendelela na Ujinga ujinga
Kweli watanzania siku hizi mmezidi kwa ujinga na Magufuli ndio kabisa aliwapumbaza baadhi ya vijana wamekuwa hawajitambui kabisa.

Hivi wewe hujui kwamba kuandamana ni haki ya watu kikatiba na hupaswi kuomba ruhusa. Kuandamana ni njia mojawapo ya kujieleza endapo unaona husikilizwi kwa njia nyingine. Ni njia ya kushinikiza watawala kuhusu jambo/kero flani sugu.

Wewe unashabikia kukatazwa maandamano kulikofanywa na dikteta Magufuli kweli mna akili vijana wa siku hizi?
 
Back
Top Bottom