johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 97,869
- 171,716
Ndio hizo hizo bwashee!Sema enzi za Nyerere...
Nyerere wakati wa vita ya baridi, hakufungamana na upande wowote.
Duh...!Unafikiri Tanzania ingekuwa mwanachama wa Baraza la usalama la UN wangepiga Kura kuilaani Urusi? unajidanganya, hata Kama mmetokea kwenye NGOs na kupewa uongozi wa nchi bila kujua historia yake, Hilo haliwezekani
Hahahaaaa.......!Hata sasa CCM HAIJAAMUA TU
Siyo kweli; huu ni uzushi tu. Tanzania ilikuwa member wa non-aligned movement, na ilikuwa inaheshimu sheria za kimataifa. Tanzania ilipinga vikali sana kitendo cha USSR kuivamia Czechslovakia mwaka 1968, na pia ilipinga vikali sana pale USSR ilipovamia Afghanstani mwak 1978.Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande...
Mtoa mada ni kada mkongwe wa Ccm ila hafahamu historia ya nchi yake.Siyo kweli; huu ni uzushi tu. Tanzania ilikuwa member wa non-aligned movement, na ilikuwa inaheshimu sheria za kimataifa. Tanzania ilipinga vikali sana kitendo cha USSR kuivamia Czechslovakia mwaka 1968, na pia ilipinga vikali sana pale USSR ilipovamia Afghanstani mwak 1978. Uvamizi wa Czechoslovakia ulikuwa sawa kabisa na huu wa Ukraine, kwa kisingizio kuwa Czechoslovakia iliyokuwa infanya reforms za uchumi wake inataka kujiegemeza kwenye nchi za kibepari.
Wengi hukimbia kukabiliana na ukweli kwamba Nyerere alikuwa mjamaa. Na miongoni mwa vitu vilivyodumaza maendeleo ilikuwa na ubishi wake wa kutaka lazima ujamaa ufanye kazi na ulete maendeleo kitu ambacho hakiwezekani.Sema enzi za Nyerere...
Kuna watu wamejifunza kukariri kuwa wakati wa Nyerere kila jambo lilikuwa bayaMtoa mada ni kada mkongwe wa Ccm ila hafahamu historia ya nchi yake.
Kwasiri alifungamana juu yameza hatufungdmani na yeyoteNyerere wakati wa vita ya baridi, hakufungamana na upande wowote.
Biafra unaijua?!!!Nyerere wakati wa vita ya baridi, hakufungamana na upande wowote.
Kumbuka rais wa sasa wa Urusi ameishi TanzaniaTungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande.
Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lisu ndio anaishi upande wa magharibi.
Maendeleo hayana vyama!
Wewe una akili sana bwashee!Kwasiri alifungamana juu yameza hatufungdmani na yeyote
Wakati wa ujamaa! Na Azimio la Arusha!Unaujua ama ushawahi kusikia umoja wa nchi zisizofungamana na upande wowote!?