Enzi za Ujamaa tungelazimishwa kuwaunga mkono Urusi

Enzi za Ujamaa tungelazimishwa kuwaunga mkono Urusi

Unafikiri Tanzania ingekuwa mwanachama wa Baraza la usalama la UN wangepiga Kura kuilaani Urusi? Unajidanganya, hata Kama mmetokea kwenye NGOs na kupewa uongozi wa nchi bila kujua historia yake, Hilo haliwezekani
 
Unafikiri Tanzania ingekuwa mwanachama wa Baraza la usalama la UN wangepiga Kura kuilaani Urusi? unajidanganya, hata Kama mmetokea kwenye NGOs na kupewa uongozi wa nchi bila kujua historia yake, Hilo haliwezekani
Duh...!
 
Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande...
Siyo kweli; huu ni uzushi tu. Tanzania ilikuwa member wa non-aligned movement, na ilikuwa inaheshimu sheria za kimataifa. Tanzania ilipinga vikali sana kitendo cha USSR kuivamia Czechslovakia mwaka 1968, na pia ilipinga vikali sana pale USSR ilipovamia Afghanstani mwak 1978.

Uvamizi wa Czechoslovakia ulikuwa sawa kabisa na huu wa Ukraine, kwa kisingizio kuwa Czechoslovakia iliyokuwa infanya reforms za uchumi wake inataka kujiegemeza kwenye nchi za kibepari.
 
Unadhani ni enzi za ujamaa peke yake? Hata sasa enzi za ubepari na utandawazi bado nchi zinalazimishwa kuunga mkono upande fulani.

Turkey wamewekewa vikwazo baada ya kununua s400 toka Russia!

China pia wamewekewa vikwazo kwa sababu hiyo hiyo!

India wametishiwa kuwekewa vikwazo kwa nia yao ya kununua huo mtambo!
 
Siyo kweli; huu ni uzushi tu. Tanzania ilikuwa member wa non-aligned movement, na ilikuwa inaheshimu sheria za kimataifa. Tanzania ilipinga vikali sana kitendo cha USSR kuivamia Czechslovakia mwaka 1968, na pia ilipinga vikali sana pale USSR ilipovamia Afghanstani mwak 1978. Uvamizi wa Czechoslovakia ulikuwa sawa kabisa na huu wa Ukraine, kwa kisingizio kuwa Czechoslovakia iliyokuwa infanya reforms za uchumi wake inataka kujiegemeza kwenye nchi za kibepari.
Mtoa mada ni kada mkongwe wa Ccm ila hafahamu historia ya nchi yake.
 
Tungeambiwa sisi ni wajamaa hivyo ni lazima tuwaunge mkono wakomunisti hata kama ni kwa shingo upande.

Mambo yamebadilika sana kwa mfano Tundu Lisu ndio anaishi upande wa magharibi.

Maendeleo hayana vyama!
Kumbuka rais wa sasa wa Urusi ameishi Tanzania

IMG-20220226-WA0001.jpg
 
Back
Top Bottom