Jolie Jolie
JF-Expert Member
- Dec 28, 2017
- 7,406
- 13,806
Songa huyu wa tamaduni muziki??Aisee labda tuitazame kwa jicho la tatu theory of evolution...!
Nadhani ni ukosefu wa muendelezo wa mazoezi ambao inachangiwa kwa kiasi kikubwa na changamoto za maisha tunayopitia.
Nilikuwa namskiliza songa enzi za utoto ghalfa nikauona Uzi huu.
Unamfahamu songa-(hip hop) msanii..?
Na kweli ukosefu wa mazoezi ulifanya niachane na sarakasi,japo home napo mama jolie alikua anapiga vita walahi nikikutwa najikunja kunja napigwa mpaka najuta hahaha
Baadae nilikujaga kumsikia akijadili na wamama wenzie wanamwambia asikubali niendelee kuruka sarakasi itanipa shida badae kwenye suala la kuzaa,eti sitazaa.Sarakasi ni za wanaume waliendelea kukazia nikapigwa vita vikali,japo ni kitu nnachokipenda....