Chinga One
JF-Expert Member
- May 7, 2013
- 11,469
- 12,391
MadojolelaBinafsi ilikuwa ukipikwa ugali usiku nilikuwa nachukia sana,nakula matonge mawili tu nimeshiba naenda zangu kulala
mkuu first to reply halafu una quoteππMadojolela
word!Na yote ni utoto tulikua hatujui tunachokijua sasa hivi.
Kwamba tulikuwa privileged sio kupata chakula tu bali na kuchagua tunachokipenda, kwani kuna ambao wanalala njaa.
Tukumbuke kumshukuru Mungu na kuwagundisha na watoto wetu ku appreciate kila wanachokipata.
Na yote ni utoto tulikua hatujui tunachokijua sasa hivi.
Kwamba tulikuwa privileged sio kupata chakula tu bali na kuchagua tunachokipenda, kwani kuna ambao wanalala njaa.
Tukumbuke kumshukuru Mungu na kuwagundisha na watoto wetu
Amen karucee