Enzi za utotoni,chakula gani kikipikwa usiku home kwenu ulikuwa unachukia?

Chinga One

JF-Expert Member
Joined
May 7, 2013
Posts
11,469
Reaction score
12,391
Binafsi ilikuwa ukipikwa ugali usiku nilikuwa nachukia sana,nakula matonge mawili tu nimeshiba naenda zangu kulala
 
Na yote ni utoto tulikua hatujui tunachokijua sasa hivi.

Kwamba tulikuwa privileged sio kupata chakula tu bali na kuchagua tunachokipenda, kwani kuna ambao wanalala njaa.

Tukumbuke kumshukuru Mungu na kuwagundisha na watoto wetu ku appreciate kila wanachokipata.
 
word!
 
Tukumbuke kumshukuru Mungu na kuwagundisha na watoto wetu
Amen karucee
 
Utotoni wali ulikua ukipikwa usiku siku hiyo ni furaha na hatukai mbali na mafiga.
Nilipofika 16yrs nilianza kuchukia wali mpaka leo siumaindi hata kidogo.
My favourate food ever ni Ugali na Dagaa za Mwanza Sereously
 
Back
Top Bottom