Yaan tupo sawa nilikuwa sipend kula kabichi...eti nilikuwa naona kama nakula vitunguu na hivi sivipend ilikuwa balaa tupu.Ugali kabichi mmmmh!
Hahahaha daah kama mimi aseeYaan tupo sawa nilikuwa sipend kula kabichi...eti nilikuwa naona kama nakula vitunguu na hivi sivipend ilikuwa balaa tupu.
Ugali usiku sio poaUgali
Hadi kesho siupendi kuula usiku
Naonaga haupiti kabisa kooniUgali usiku sio poa
Kweli kabisaa ,alafu ugal usiku utaishia kuota ndoto za ajabuNaonaga haupiti kabisa kooni
[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] bora wewe waishia ota ndoto usiku...Mimi sipatagi usingizi kabisaKweli kabisaa ,alafu ugal usiku utaishia kuota ndoto za ajabu
Aisee kuna siku niliotaga nakimbizwa na misimba [emoji23][emoji23] kuuuumbe shaur ya Dona+muhogo na samaki[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] bora wewe waishia ota ndoto usiku...Mimi sipatagi usingizi kabisa
[emoji16] [emoji16] poleAisee kuna siku niliotaga nakimbizwa na misimba [emoji23][emoji23] kuuuumbe shaur ya Dona+muhogo na samaki
Asante [emoji23][emoji23] ulikua umekamatwa na chatu[emoji16] [emoji16] pole
Na simbaAsante [emoji23][emoji23] ulikua umekamatwa na chatu
Hahahah hongera aisee kumbe ndo maana hunijibu kule[emoji4]Na simba
AhhaahahahahUgali.nilikuwa nalala mapemaaa.