Enzi za utotoni,chakula gani kikipikwa usiku home kwenu ulikuwa unachukia?

Enzi za utotoni,chakula gani kikipikwa usiku home kwenu ulikuwa unachukia?

ugali na kabeji au maharage,ndizi kwa samaki au utumbo sili najisikia kichefuchefu
 
Nilikuwa sipendi kula kabechi na nyanya chungu,ndizi za kupika,viazi vitamu,,
ila sasa hivi nakula sana tu
 
Back
Top Bottom