Enzi zako zimekwisha P FUNK pole sana

Status
Not open for further replies.
Hao uliowataja mimi nimewa inspire kurap. Je walipokuwa chini ya pfunk wamepata nini kimuziki mbali ya kurecord na kupata misifa ya kujulikana??

Akuna msanii wa bongo hiphop amefanikiwa chini ya pfunk. Nioneshe mmoja..na nieleze amefika wapi?

nyie si mlikua mnasema bongo fleva ni uhuni sasa mnalalamika nini?. wakina OJ na Bonnie luv wa mawingu studio(clouds) ili wapige wimbo wako ilikua hadi utoe rushwa. mia
 
u' kno nothin @*......!!
 
kwa kweli hali ya hewa sio nzuri kwa sasa Jide nae kamwita FA MwanaFAtuma Duuuh Chonde Msije ji~Tupac na Ku~Big Poppa Chondeeee!
 
Sammy wa group ya dayoung mobb pale sinza..ndo tuliomtoa sugu na soggy doggy walipofika tu dar toka mbeya, tulirecord na bonny luv pale mawingu studio. Group mama pale sinza ilikuwa Weusi Wagumu Asilia (W.W.A.).

1994-1996 Tukaachana na rap ili kusomea zaidi mambo ya muziki na mambo mengine. Kwa sasa tunakamilisha mipango ya kuunda bendi yetu wenyewe ya hiphop tanzania. Pure bongo hiphop band sababu hamna kitu hicho pale bongo kwa sasa.

Mimi naishi USA kwa sasa lkn natarajia kushuka bongo muda si mrefu for sometimes.

Habari zaidi kuhusu sisi, W.W.A Au historia ya hiphop artists pale bongo usisite kuniuliza.

Ukweli wote wa waasisi wa bongo hiphop so far si ya kweli..tukishaanza na bendi tutawaambia ukweli wabongo nani alikuwepo wakati bongo hiphop inaanza, ilikuwaje? Tunamipango gani kwa wasanii bongo....
 
pfunk hajaisha kihivyo...bado mkono wake unahitajika..ttz hajatulia naye kama hao wengine tu wavuta bangi
mie nimemjua huyo pfunk enzi anasoma IST na alikua akija kwa master jay ..tunamuita mtoto wa kidachi..tulisimamia wote tamasha la kuwapata wateule pale mambo club..pia tulifanya naye sna mchakato kipindi wamekuja Lost boys..na gari yake ndio ilitumika kuwabeba..
na hata ile nyimbo ya mtulize ya mabaga fresh..p aliitengeneza katika studio za bonny luv enzi hizo alikua hana studio

kwangu Pfunk bado mzuri ttz watoto wadogo aliwafundisha ndio kelele nyingi..akina ramaah
 

hacha majungu pfunk majani is most talented producer
 

ni kweli kabisa mkuu pfunk alipatwa na matatizo makubwa akaenda uholanzi kupumzika ndo maana akakaa muda mrefu ajafanya kazi ila kwa hapa bongo p majani hana mpinzani.
 

waambie siyo majungu tatizo kuna watu wanapenda sana mitelemko sana sasa kwa pfunk kiasili yake hapendi hiyo tabia ndo maana wabongo wanampiga vita big u paul
 

Tunawasubiri

P funk what happened si alitangaza clouds wasipige nyimbo zenye mkono wake.
 
Pfunk huyu huyu aliyefulia na kuishi kwa mama yake ugali shkamoo au amezaliwa mwingine? kama ni huyu huyu wa mabange tutasubiri sana kuiona hiyo studio na redio. Labda kama ni mwingine amabaye majina yamefanana

sikiliza we pimbi majani hawezi kufulia kama unavyodhani kula kwao masaki na kulala kwake bamaga siyo tabu kwani mama yake ndie aliempangia hivyo kumbuka kwao yeye ndiye mtoto wa mwisho na mama yake kila akimwambia anataka kuondoka anamkatalia LINGINE MWENZETU ANA UTAMADUNI WA KIZUNGU KWAHIO KUSEMA KWAMBA AMEFULIA WAKATI KILA SIKU ANABADILISHA MAGARI KWA NDUGU ZAKE UHOLANZI ANAENDA KILA AKITAKA SASA SIJUI UNATAKA AFANYAJE SORRY KARIBU NA WAALIKE NA WENZAKO KATIKA UZINDUZI RASMI WA BONGO RECORDS BAADA YA UKARABATI MKUBWA ULIOFANYWA NA CEO PAUL aka majani aka kinywele kimoja aka halfani aka MDACHI.
cc figganiga,mistrong
 

Sorry yaliwahi kukukuta au simulizi za wapaka rangi kucha?
 

Alipigana WW II
 

W.W.A ni kundi lenye heshima kubwa sana ktk historia ya hip hop Tanzania.
Albamu yenu ya kwanza nilirekodi kupitia rafiki (Fred Jebby Barua r.i.p) nikiwa Arusha.
heshima kwako lakini usiponde waliofanya muziki japo kukubalika kama P Funk.
 

ni kweli kabisa mkuu usisahau kabisa kachangia kutoa clouds kutoka kitega uchumi mpaka darajani alah.
 
Last edited by a moderator:
W.W.A ile ya kina Masikilija..?@Lazamwa..huwezi kuzungumzia mafanikio ya hip hop bongo au bongo fleva bila kumuhushisha Pfunk... billy
 
Last edited by a moderator:

You don't know the music wewe.

Clouds FM inaumizwa sana na watu wenye misimamo kama P-funk.

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
whoever is against clouds fm am on their side,clouds is the definition of the devil.
 
Kama wewe ni jike basi ni haki yako kuvaa Khanga! Lakini kama wewe ni dume basi nahisi mchana unavaa suruali halafu usiku unavaa Khanga!
 
Ila p funk ndio anawaaribu hao wanamzuki au wenyewe ndio wanjiaharibu Ndallo
 
Last edited by a moderator:
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…