inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Uanguke zikutoboe,sisi wa zamani wagumu bwana,acha tu,ndala huna,peku jua la saa na e,umefunga lakini kazi za shamba toka asubuhi mpaka saa kumi na fresh tu,kwenda kucheza mechi kwa miguu 10kmPeda zikiisha vinabaki vile vichuma vya ndani,tunaita "misongo",halafu kwenye mlima raia wanasimamia na miguuni wako peku...
Ila zamani watu walikua wamekomaa kama wanacheza mashuati
Nilikuwa nna baskeli inaitwa bugati enzi hizo.siku hiyo nikaipiga pedeli hivyo hivyo kwa nyuma cheni ikachomoka ikazama kwenye freewili inanivuta asee nilipiga mzinga moja hioo na vumbi la kutosha.Au ilikua Baiskeli ikichanganya Speed,unakua unanyonga zile pedals kwa kurudisha nyuma,basi ule mlio wa ile Bearing ya tairi la nyuma unajiona mjanja.
😀😀
Ili kujifunza balance hunyongi 360 Bali 180,ukiiva unanyonga 360 na msele juu
Haaahaa Ili ujue kuendesha lazima uumie...Ili kujifunza balance hunyongi 360 Bali 180,ukiiva unanyonga 360 na msele juu
Mimi suluali ilinasa kwenye chain mguu wangu ukawa mfupi....Chali..🤓🤓Nilikuwa nna baskeli inaitwa bugati enzi hizo.siku hiyo nikaipiga pedeli hivyo hivyo kwa nyuma cheni ikachomoka ikazama kwenye freewili inanivuta asee nilipiga mzinga moja hioo na vumbi la kutosha.
Kuna watu tuliwaita robot miguu imekomaa kawa kiwembe...Uanguke zikutoboe,sisi wa zamani wagumu bwana,acha tu,ndala huna,peku jua la saa na e,umefunga lakini kazi za shamba toka asubuhi mpaka saa kumi na fresh tu,kwenda kucheza mechi kwa miguu 10km
Huu msemo wa uza baiskeli nunua kengele ndipo ulianzia🤓🤓Na ambazo hazina kengeree😂😂
Hahaha 🤣🤣😂😂Different eras.
Very true & vice versa is true 😌😌Vijana wa 70s to 80s haweze kuzeeka kama vijana wa 2000 to 2023....... Different errors,
Yeah ila saivi vijana wana enjoy enough....maisha yalikuwa matamu sana bila hizi takataka smart phone na tv
Kuna mwalimu wetu Ali andika baiskeli yakeunaweka hapo na zile kofia zilizokuwa na kibati mbele zimeandikwa LUCKY
Vile mpk Leo ni viatu kwel kwel ...Halafu chini umepiga zako zile Safari buti za kijivu.
Niliwahi jaribu hiyo, nikaanguka.Umenikumbusha enzi izo ukifika center una achia mikono watu wakuonee
Ujana una mambo mengi
Sharti ilikuwa lazima uanguke.Haaahaa Ili ujue kuendesha lazima uumie...
Ili itaji uweze ku balance ⚖️⚖️ hauanguki sisi tuliweza tena very easy...Niliwahi jaribu hiyo, nikaanguka.
Nikapata jeraha kabisa.
Wengi wetu tuna majeraha kwenye ugoko..🤓🤓Sharti ilikuwa lazima uanguke.
Ukianguka tuu uoga unatoka.
Kweli kabisa mhenga mwenzangu.View attachment 2571100
View attachment 2571102
Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix,Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.😂
Sio maneno yangu alisikika muhenga mmoja....
Hamiltonavon
Hata kikiwepo, binti anapendelea zaidi akae mbele kwa kuwa yeye siyo mzigo wa kufungwa nyuma.Enzi izo unaitoa kiti Cha nyumaa
Mnyama phoenix alileta mapinduzi makubwa sana. Kabla ya hapo turbo ndio ilikuwa tishio kijijini kwetu.View attachment 2571100
View attachment 2571102
Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix,Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.[emoji23]
Sio maneno yangu alisikika muhenga mmoja....