Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana

Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix, Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana

Peda zikiisha vinabaki vile vichuma vya ndani,tunaita "misongo",halafu kwenye mlima raia wanasimamia na miguuni wako peku...

Ila zamani watu walikua wamekomaa kama wanacheza mashuati
Uanguke zikutoboe,sisi wa zamani wagumu bwana,acha tu,ndala huna,peku jua la saa na e,umefunga lakini kazi za shamba toka asubuhi mpaka saa kumi na fresh tu,kwenda kucheza mechi kwa miguu 10km
 
Au ilikua Baiskeli ikichanganya Speed,unakua unanyonga zile pedals kwa kurudisha nyuma,basi ule mlio wa ile Bearing ya tairi la nyuma unajiona mjanja.
😀😀
Nilikuwa nna baskeli inaitwa bugati enzi hizo.siku hiyo nikaipiga pedeli hivyo hivyo kwa nyuma cheni ikachomoka ikazama kwenye freewili inanivuta asee nilipiga mzinga moja hioo na vumbi la kutosha.
 
Nilikuwa nna baskeli inaitwa bugati enzi hizo.siku hiyo nikaipiga pedeli hivyo hivyo kwa nyuma cheni ikachomoka ikazama kwenye freewili inanivuta asee nilipiga mzinga moja hioo na vumbi la kutosha.
Mimi suluali ilinasa kwenye chain mguu wangu ukawa mfupi....Chali..🤓🤓
 
Uanguke zikutoboe,sisi wa zamani wagumu bwana,acha tu,ndala huna,peku jua la saa na e,umefunga lakini kazi za shamba toka asubuhi mpaka saa kumi na fresh tu,kwenda kucheza mechi kwa miguu 10km
Kuna watu tuliwaita robot miguu imekomaa kawa kiwembe...
Yaaani,
Mkikumbana kwenye mpira enzi izo duu
Ndipo jina la Joseph kaniki a.k.a kumba kumba lilipo anzia....
 
View attachment 2571100
View attachment 2571102

Enzi zetu haikuitajika Peugeot, Nissan Wala Datsun ila ukiwa na Phoenix,Swala, frying pegeou au Raleigh unang'oa walimbwende na ndoa zilidumu sana tofauti na Sasa.[emoji23]
Sio maneno yangu alisikika muhenga mmoja....
Mnyama phoenix alileta mapinduzi makubwa sana. Kabla ya hapo turbo ndio ilikuwa tishio kijijini kwetu.
 
Back
Top Bottom