inamankusweke
JF-Expert Member
- Apr 24, 2014
- 20,344
- 21,967
Uanguke zikutoboe,sisi wa zamani wagumu bwana,acha tu,ndala huna,peku jua la saa na e,umefunga lakini kazi za shamba toka asubuhi mpaka saa kumi na fresh tu,kwenda kucheza mechi kwa miguu 10kmPeda zikiisha vinabaki vile vichuma vya ndani,tunaita "misongo",halafu kwenye mlima raia wanasimamia na miguuni wako peku...
Ila zamani watu walikua wamekomaa kama wanacheza mashuati