Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trailer Nzuri sana, budget kiasi gani?
Siwezi kutoa maoni yyte kuusu hii movie hadi nitazame yote ila nimesikia gharama ya hii movie imegharimu 400million za kitanzania ila sina na uwakika coz sijaona sehemu yyte ya usibitisho wa iyo pesa kama imetumika nafikir nasubili kwanza hadi niione na niwasikie kwenye interview za waandaji ndio tutapata jibu sahiiSiku ya juzi AZAM TV wamepost trailer ya movie yao mpya waliotengeneza kwa takribani miaka 6. Movie hiyo kwa jinsi ilivyotengenezwa ni kama imetumia mfumo wa CGI (Computer Generated Imagery) ambao unatumiwa sana huko hollywood na tumeona kwenye movies kama Superman, Avatar, Avengers na nyinginezo.
Hii movie ya EONII ni ya kiswahili kabisa lakini cha kushangaza ina Robots na Mashine za mfano wa Robots, na mandhari yake ni ya Teknolojia na muonekano ni wa Tanzania baada ya 2061. Ni trailer kali sana. Naona hatua kubwa kwa Tasnia ya Filamu Tanzania.
"EONII" a Tanzania movie that will take Africa's film industry to another level.
---
AZAM TV and POWER BRUSH STUDIO have launched the Blockbuster movie trailer
AZAM TV in collaboration with POWER BRUSH STUDIO have been able to launch the trailer of the New Movie "EONII". The movie that is about to be released in the end days of June, 2023 is expected to change the whole attitude of the Tanzanian film industry, the movie is called 'EONII'.
EONII is one of the Science Fiction (Sci-Fi) films that is based on high technology, where there are many cases including betrayal, fights, love and many other events. The setting of this movie is Tanzania, where the movie predicts that in 2061 Technology will have made a big step and there is an invention of Technology that is discovered and leads to a big threat where some people will own that knowledge and betray their fellows at the end of the day Humans and Robots enter the war along with some people who are traitors.
The language of the movie will be Swahili, with different languages Subtitles.
Launching the Movie
This full movie will be released on 23rd June, 2023 in cinema (theatres) where the Regions listed for the launching event will be Dar es Salaam, Arusha, Mwanza, Dodoma as well as other regions with cinemas and there will be a Red Carpet.
Film industry revolution
This is a big revolution in the Film Industry in Tanzania and Africa in general. For a long time, the world of movies in Tanzania had deteriorated for many years since the late Steven Kanumba died, and now AZAM TV has shown the intention to focus on trying to make unique movies in Tanzania to compete with the world markets.
Wanasema budget ni TSh 473 millionsTrailer Nzuri sana, budget kiasi gani?
Nimeona IST humo inazurula [emoji16][emoji16][emoji847][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kusema ukweli wabongo ni much know sana na clueless simultaneously.Watu wanashangaa IST imefuata nini mwaka 2061 [emoji38][emoji38]
na mandhari yake ni ya Teknolojia na muonekano ni wa Tanzania baada ya 2061.
Dak 1.16 -1.17 ya trailler
Inaonekana Toyota IST old model, sasa sijui kama ifikapo 2061 kutakuwa na IST old model...
Mkuu acha nongwa na ukike.yaani ushaanza tafuta makosa.jamaa wamejitaidi mnooo tunatakiwa tutoe support kufika mbali sio hiv jmn
Wakati Sonic the hedgehog ya kwanza inaachiwa trailer watu wali-criticize muonekano wa Sonic, waandaaji wakaubadilisha na baada ya hapo (huo muonekano mpya) ukapendwa na kuifanya Sonic the hedgehog kua moja ya movie iliyokubalika ambayo ime-base kutokana na game.Mkuu acha nongwa na ukike.yaani ushaanza tafuta makosa.jamaa wamejitaidi mnooo tunatakiwa tutoe support kufika mbali sio hiv jmn