EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

Movie yenyewe inatoka leo..???[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Tanzania bado tunashida na utungaji wa story nzuri, ambazo zinaweza kuvutia watazamaji....
Unaweza kutengeneza movie yenye budget ndogo lakin ikawa na story nzuri sana, mpka watu wakapenda..

Tuangalie movie kama power and kin, pale kuna technolojia gani ngumu kushindwa kutengeneza movie yenye story kama zile...

Kukimbilia science fiction kabla hatujakuwa bora kwenye story write, hata hzo zitakuwa mbovu tu...
Kuna Series ya kinigeria WURA, ukimaliza episode lazima utake kuangalia nyingine.
 
Back
Top Bottom