EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

Netflix ipi kaka
Netflix huijui mkuu?
Movie za Kibongo kama Binti na Nyara zimeingia Netflix. Pia kuna movie mpya ya Idris Sultan imeingia Netflix juzi juzi tu nitakutajia jina lake kwa sasa nimelisahau
Kenya wana movie kibao zipo Netflix

Kama hizo zimeingia Netflix, kwa nini EONII ishindwe?
 
Kwenye cinema atauza sana maana yake kumbi zote zitajaa siku husika.

Nitaenda iona ili nije kutoa maoni halisi
 
Kwenye cinema atauza sana maana yake kumbi zote zitajaa siku husika.

Nitaenda iona ili nije kutoa maoni halisi
Kaiangalie uje utupe honest review [emoji28][emoji28]
Kwa kusoma tu comments zako Nina Imani utaleta honest opinion maana mimi sina imani sana na hii movie
Mfano Camera quality kwenye trailer lake tu sijaridhika nayo. Huenda movie ikawa nzuri labda [emoji23][emoji23]
 
Kusema ukweli wabongo ni much know sana na clueless simultaneously.
Jaribu hata kutumia common sense, Toyota IST imetoka 2002 miaka 21 imepita lakini je leo hauzioni barabarani? Hapana mpaka leo 2023 bado zipo barabarani, je kitu gani kifanye zisiwepo 2061? Hizi comment zenu zinawachoresha upeo wenu kichwani.

For the sake of the argument, katikati ya story ni lazima protagonist awekwe kwenye mazingira au situation ngumu na helpless labda hizo futuristic vehicles zimerun out of electricity na possibilities, nyingine, hivyo kwa desperation atafanya chochote kile kutoka kwenye situation hiyo hata kwa kutumia bajaji lakini in this case old vehicles kama IST sababu movie imesetiwa 2061. Kuonyesha kwamba chochote kinaweza kuwa useful in difficult situation. Ukibanwa na njaa jangwani utakula hata siafu.

Na nani amekwambieni 2061 kutakuwa hakuna Toyota ISTs duniani? Hollywood na wazungu wanajivunia vya kwao na ninyi jivunieni vya kwani acheni kuwa suckers wa vitu vya watu. Na kwa akili primitive za watanzania Genre ya Sci-Fi itakuwa ngumu kustawi kama reasoning yenyewe ndio kama za hawa watu.

Hii ndio sababu situmii JamiiForums siku hizi, lazima utakuta clueless mjuaji mmoja anayejikuta ana akili nyingi anaandika pumba bila kujua tena kwa kujiamini kabisa.
tuko pamoja,also what if humo ndan kuna inshu za time travelling!!!!,umeambiwa kuna teknolojia ambayo imegunduliwa na inaleta ghasia je wanaijua!!!!!?

Na ni kwel yan genre ya sci fi kwa akili kama hizi wabongo tunazoonyesha ase itakua ngumu kutoboa
 
Tunasubiria movie yenyewe kwanza ndio tu-judge
Mbona tunaangalia movies za Sci-fi za wazungu? The way ulivyoongea ni as if Watanzania hatuna experience na Sci-fi movies
Subiria movie yenyewe kwanza itoke
 
Netflix huijui mkuu?
Movie za Kibongo kama Binti na Nyara zimeingia Netflix. Pia kuna movie mpya ya Idris Sultan imeingia Netflix juzi juzi tu nitakutajia jina lake kwa sasa nimelisahau
Kenya wana movie kibao zipo Netflix

Kama hizo zimeingia Netflix, kwa nini EONII ishindwe?
Unazan wanachukua tuuh kama maandazi mzee iyo movie Netflix walisha ipiga chini ndo ikaja apa azam

Ivi unajua movie ya imani ukisha ijua vzr na nin kilich tokea njoo
 
Unazan wanachukua tuuh kama maandazi mzee iyo movie Netflix walisha ipiga chini ndo ikaja apa azam

Ivi unajua movie ya imani ukisha ijua vzr na nin kilich tokea njoo
Ningependa kujua source inayosema kuwa EONII ilipigwa chini na Netflix
Naomba link
 
Lugha ya kiswahili iliyotumika ina makosa mengi ya kisarufi, hasa kwenye matamshi. Inavyoonekana haijafanyiwa editing upande wa spoken language
Hii sio sahihi sababu Movie ni uhalisia wa maisha ya kila siku kwahiyo kutokuwa na matamshi sahihi ni kawaida. Mimi mwenyewe siongei kiswahili fasaha huku mtaani
 
Kuna mahali popote nimetoa tusi kwako au kwa mtu mwingine?

Comment yangu imekaa kuonesha kosa la kiufundi ambalo muongoza filimu hakupaswa kulifanya...

Hiyo filamu haijawa released officially, hivyo waandaaji wanawaweza rekebisha baadhi ya scenes kutoka na positive reviews kama hizi...

Samahani kwa hilo tusi mkuu....
Ila movie tayar imeisha ni cku ya kutolewa tuh.kitu kidogo kama icho hakiezi badil uzur wa hio movie
 
Wakati Sonic the hedgehog ya kwanza inaachiwa trailer watu wali-criticize muonekano wa Sonic, waandaaji wakaubadilisha na baada ya hapo (huo muonekano mpya) ukapendwa na kuifanya Sonic the hedgehog kua moja ya movie iliyokubalika ambayo ime-base kutokana na game.

Movie kibao Hollywood b4 hazijawa released watu hukosoa trailers kuanzia CGI yenyew iliyotumika mpaka baadhi ya details ambazo wanaona haziko sawa

Watu wanapoonyesha makosa haina maana eti hawataki kukisapoti, hiyo ni njia nzuri ya waandaaji wa filamu kuonyeshwa makosa katika bidhaa yao na kuyarekebisha kabla muvi haijaachiwa!

Mkuu huko ni sawa ila hapa tz hii ndio project ya kwanza.kwel waanze sikiliza maoni yenu kisha waanze kuibadil
Hio gharama waliotumia kuitengengeneza cjui ni ngapi ila haiez kua sawa na movie zote za bongo
 
Kwa kiasi kikubwa azam ameipa uhai sana bongo movie, kuanzia zile tamthilia za AzamTv hadi sasa hii movie, binafs kama price ya hii movie itakuwa chini ya 5k lazima niinunue, just to support local made movies though mimi sio fan wa sci-fi movies
UNUNUE CHINI YA ELFU TANO 😂 HAUZWI CD INAONYESHWA CINEMA TIKETI SIO CHINI YA ELFU.KUMI TUZOEE VITU.VIZURI NI GHARAMA
 
Kwa niliko mm siwezi kwenda huko, ila wakiamua kuuza hata kwa 10K nalipa
UNUNUE CHINI YA ELFU TANO 😂 HAUZWI CD INAONYESHWA CINEMA TIKETI SIO CHINI YA ELFU.KUMI TUZOEE VITU.VIZURI NI GHARAMA
 
Back
Top Bottom