Telewolth bin champion
JF-Expert Member
- Dec 11, 2018
- 2,386
- 6,473
Achana nao hao wengi wanaSonona na stress za kimaisha hasira zao wanamalizia mitandaoni kupingapinga vitu.Kusema ukweli wabongo ni much know sana na clueless simultaneously.
Jaribu hata kutumia common sense, Toyota IST imetoka 2002 miaka 21 imepita lakini je leo hauzioni barabarani? Hapana mpaka leo 2023 bado zipo barabarani, je kitu gani kifanye zisiwepo 2061? Hizi comment zenu zinawachoresha upeo wenu kichwani.
For the sake of the argument, katikati ya story ni lazima protagonist awekwe kwenye mazingira au situation ngumu na helpless labda hizo futuristic vehicles zimerun out of electricity na possibilities, nyingine, hivyo kwa desperation atafanya chochote kile kutoka kwenye situation hiyo hata kwa kutumia bajaji lakini in this case old vehicles kama IST sababu movie imesetiwa 2061. Kuonyesha kwamba chochote kinaweza kuwa useful in difficult situation. Ukibanwa na njaa jangwani utakula hata siafu.
Na nani amekwambieni 2061 kutakuwa hakuna Toyota ISTs duniani? Hollywood na wazungu wanajivunia vya kwao na ninyi jivunieni vya kwani acheni kuwa suckers wa vitu vya watu. Na kwa akili primitive za watanzania Genre ya Sci-Fi itakuwa ngumu kustawi kama reasoning yenyewe ndio kama za hawa watu.
Hii ndio sababu situmii JamiiForums siku hizi, lazima utakuta clueless mjuaji mmoja anayejikuta ana akili nyingi anaandika pumba bila kujua tena kwa kujiamini kabisa.
Wengi wao zaidi ni joined 2020-23, kiufupi akili hawana.