EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

Netflix ipi kaka
Netflix huijui mkuu?
Movie za Kibongo kama Binti na Nyara zimeingia Netflix. Pia kuna movie mpya ya Idris Sultan imeingia Netflix juzi juzi tu nitakutajia jina lake kwa sasa nimelisahau
Kenya wana movie kibao zipo Netflix

Kama hizo zimeingia Netflix, kwa nini EONII ishindwe?
 
Kwenye cinema atauza sana maana yake kumbi zote zitajaa siku husika.

Nitaenda iona ili nije kutoa maoni halisi
 
Kwenye cinema atauza sana maana yake kumbi zote zitajaa siku husika.

Nitaenda iona ili nije kutoa maoni halisi
Kaiangalie uje utupe honest review [emoji28][emoji28]
Kwa kusoma tu comments zako Nina Imani utaleta honest opinion maana mimi sina imani sana na hii movie
Mfano Camera quality kwenye trailer lake tu sijaridhika nayo. Huenda movie ikawa nzuri labda [emoji23][emoji23]
 
tuko pamoja,also what if humo ndan kuna inshu za time travelling!!!!,umeambiwa kuna teknolojia ambayo imegunduliwa na inaleta ghasia je wanaijua!!!!!?

Na ni kwel yan genre ya sci fi kwa akili kama hizi wabongo tunazoonyesha ase itakua ngumu kutoboa
 
Tunasubiria movie yenyewe kwanza ndio tu-judge
Mbona tunaangalia movies za Sci-fi za wazungu? The way ulivyoongea ni as if Watanzania hatuna experience na Sci-fi movies
Subiria movie yenyewe kwanza itoke
 
Unazan wanachukua tuuh kama maandazi mzee iyo movie Netflix walisha ipiga chini ndo ikaja apa azam

Ivi unajua movie ya imani ukisha ijua vzr na nin kilich tokea njoo
 
Unazan wanachukua tuuh kama maandazi mzee iyo movie Netflix walisha ipiga chini ndo ikaja apa azam

Ivi unajua movie ya imani ukisha ijua vzr na nin kilich tokea njoo
Ningependa kujua source inayosema kuwa EONII ilipigwa chini na Netflix
Naomba link
 
Lugha ya kiswahili iliyotumika ina makosa mengi ya kisarufi, hasa kwenye matamshi. Inavyoonekana haijafanyiwa editing upande wa spoken language
Hii sio sahihi sababu Movie ni uhalisia wa maisha ya kila siku kwahiyo kutokuwa na matamshi sahihi ni kawaida. Mimi mwenyewe siongei kiswahili fasaha huku mtaani
 
Samahani kwa hilo tusi mkuu....
Ila movie tayar imeisha ni cku ya kutolewa tuh.kitu kidogo kama icho hakiezi badil uzur wa hio movie
 
Samahani kwa hilo tusi mkuu....
Ila movie tayar imeisha ni cku ya kutolewa tuh.kitu kidogo kama icho hakiezi badil uzur wa hio movie

Pamoja sana...
 
Mkuu huko ni sawa ila hapa tz hii ndio project ya kwanza.kwel waanze sikiliza maoni yenu kisha waanze kuibadil
Hio gharama waliotumia kuitengengeneza cjui ni ngapi ila haiez kua sawa na movie zote za bongo
 
Kwa kiasi kikubwa azam ameipa uhai sana bongo movie, kuanzia zile tamthilia za AzamTv hadi sasa hii movie, binafs kama price ya hii movie itakuwa chini ya 5k lazima niinunue, just to support local made movies though mimi sio fan wa sci-fi movies
UNUNUE CHINI YA ELFU TANO 😂 HAUZWI CD INAONYESHWA CINEMA TIKETI SIO CHINI YA ELFU.KUMI TUZOEE VITU.VIZURI NI GHARAMA
 
Kwa niliko mm siwezi kwenda huko, ila wakiamua kuuza hata kwa 10K nalipa
UNUNUE CHINI YA ELFU TANO 😂 HAUZWI CD INAONYESHWA CINEMA TIKETI SIO CHINI YA ELFU.KUMI TUZOEE VITU.VIZURI NI GHARAMA
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…