EONII 2023 movie ya kwanza kali ya Technology Tanzania, kama Hollywood vile

Nitajie movie moja ya bongo yenye script kali unayoiaminia
Kuna baadhi walijaribu mfano kuna filamu inaitwa Siri ya Kijiji, kuna Fungu la Kukosa. Shigongo kwenye Fake Pastor kuna kitu alijaribu pia. Zamaradi na Kigodoro kuna kitu alijaribu.

Kwa maoni yangu Ray na Kanumba ni miongoni mwa waandishi wa kawaida tu wa script.

Vichekesho ni hovyo pia wakati hii ni genre nyepesi kwa maoni yangu, Al Riyami akajaza muvi hazina mantiki za In'ye watu wakajidhalilisha kwa vitu visivyoingia akilini
 
Lugha iliyotumika si rafiki kabisa, pia kwa uhalisia Huwezi kutana na IST 2061
Miaka 40 kutoka sasa
Ni sawa na mtu awe na gari ya mwaka 1980 leo hii
 
Hamna kitu humo, ni porojo tu kama za royo tuwa... na hiyo ni trailer subiri full movie ndo ushubwada.
 
Mtengenezaji wa movie kaielezea hiyo ist kwamba ni ya umeme something different with what we have today
 
Ivi upo serious na ulicho kisema apo kuhus script
 
Reuben Challe kajibu
 
Hmmm...
 
Copy na Paste, hakuna Ubunifu wowote ule.
Kuna watu ni kama mmlisha laaniwa huwa hamna jema hata kidogo,ni mpo watu wa aina hiyo hatika huu ulimwengu na hata psychology imewatambua, Dunia hii ya leo ni kitu gani utafanya usiige hata chembe?
 
Mara nyingi taifa lililo jaa wapumbavu hiwa watu wake wanajikita kwenye vimambo vya kijinga kijinga visivyo na tija
 
As long as movie imeigizwa kwa kiswahili lazima itakula kwao sababu mauzo yatakuwa madogo sana. Ingekuwa kwa akingereza atleast inge walipa
Si kweli mivies za kikorea na kichina zimeuza kwa uchina wake na ukorea huo huo ndio maana ya kuwa na subtitles? Hebu punguzeni utumwa wa fikra basi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…