Tunamshukuru sana aliyevujisha huu mkataba wa hovyo, ilikuwa siri kubwa hadi AG hakujua
Bandari haijawahi kuinufaisha serikali kwa miaka zaidi ya 50Ukute mleta mada toka uzaliwe hujawahi kufika hata mjini achilia mbali kujua wizi, upotevua wa spea za magari yaliopo bandarini na ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi karibia wote waliopo pale bandarini.
Bandari toka ianzishwe miaka zaidi ya 50 huko hadi leo haijawahi kuinufaisha serikali, wala mwananchi wa kawaida ( pengine ukiwemo mleta mada). Na ndio maana awamu zote zikiingia zimekuwa zikijaribu kubadili viongozi wa bandari bila mafanikio.
Tatizo kubwa ni mfumo mbovu wa uendeshaji wa bandari ambapo wanufaika wakuu ni hawa wanaopiga kelele leo ambao 85% walikuwa wameshatengeneza mfumo wa kupitisha biashara zao hapo bila kulipa kodi, huku wengine wakiitumia kusafirishia au kupitishia madawa yao ya kulevya.
Sasa hili swala la mkataba linawanyima usingizi kwani siku hao jamaa wadubai wakiingia itakuwa hamna janja janja tena ya kukwepa ulipaji wa kodi. Kila mtu atakamuliwa alipie mzigo wake ili serikali na kampuni vipate mapato yao.
Sio kila kitu serikali inaweza kusimamia mkuu. Hata huko Ulaya hasa Scandinavian Countries (Nimesoma huko) huduma za kibiashara zinafanywa na Private Sector na Government inakusanya mapato tu. Hii imeleta ufanisi sana.Bandari haijawahi kuinufaisha serikali kwa miaka zaidi ya 50
Sasa kama serikali ameshindwa kusimamia hiyo mifumo mibovu ya bandari ndo mtu binafsi au taasisi binafsi itaweza???
Kama kweli serikali imeshindwa then tuna mashaka na usimamizi wa serikali kwenye mipaka yetu , maliasili zetu,Mapato yetu, ulinzi na usalama wetu etc.
Serikali anatakiwa awe final say...most powerful institution ndani ya sovereign yake kushinda mtu binafsi au taasisi binafsi.
Hakuna muujiza mkubwa au nguvu au tactic mpya ambayo DP world anakuja nayo alafu serikali hawaijui kwenye usimamizi wa bandari.
Tumia akili badala ya mihemko unayotengenezewa na wanaonufaika na bandari huku wewe ukitumika tu kwa niaba ya mafanikio yao na familia zao.Bandari haijawahi kuinufaisha serikali kwa miaka zaidi ya 50
Sasa kama serikali ameshindwa kusimamia hiyo mifumo mibovu ya bandari ndo mtu binafsi au taasisi binafsi itaweza???
Kama kweli serikali imeshindwa then tuna mashaka na usimamizi wa serikali kwenye mipaka yetu , maliasili zetu,Mapato yetu, ulinzi na usalama wetu etc.
Serikali anatakiwa awe final say...most powerful institution ndani ya sovereign yake kushinda mtu binafsi au taasisi binafsi.
Hakuna muujiza mkubwa au nguvu au tactic mpya ambayo DP world anakuja nayo alafu serikali hawaijui kwenye usimamizi wa bandari.
SAWASAWA, INAWEZEKANA....Wakuu
Kwenye hizo kashfa za epa, escrow, richmond, kagoda, meremeta, na kashfa kibao nazo zilipata waliozitetea kwa nguvu kubwa sana ,
Na baadhi ya vyombo vya habari vilijitoa kutetea na baadhi ya waandishi waliandika kutetea sana hizo kashfa lakini mwisho waliishia kuaibika tu,
Hivo msishangae DP world inavotetewa kwa nguvu kubwa ikiwapo kununua media karibu zote, kisafirisha waandishi kama mifugo huko na kule ilmradi wafanye utetezi.
Cha msingi wapingaji tusikilizwe hoja zetu na zizingatiwe kwa maslahi ya nchi maana hapo tutakua tumewafichia aibu kiutu uzima kwa ujinga uliofanyika,
MKATABASio kila kitu serikali inaweza kusimamia mkuu? Hata huko Ulaya hasa Scandinavian Countries (Nimesoma huko) huduma za kibiashara zinafanywa na Private Sector na Government inakusanya mapato tu. Hii imeleta ufanisi sana.
Mkuu achana nae huyo, kosa lake kubwa ni kuchukua akili yake na kuikabidhi kwa wanasiasa wetu uchwara, ambapo sasa kila linaloongelewa na wanasiasa hao lazima akubaliane nalo. Kamwe hawezi kuwa na ujanja wa kuhoji kile kinachosemwa kama ni uongo au ukweli. Lakini pia hawezi tena kutumia akili yake kufikiri nje ya box maana akili ishafungwa.Sio kila kitu serikali inaweza kusimamia mkuu? Hata huko Ulaya hasa Scandinavian Countries (Nimesoma huko) huduma za kibiashara zinafanywa na Private Sector na Government inakusanya mapato tu. Hii imeleta ufanisi sana.
Kwa hiyo mwarabu atakuja na police wake, au ni hawahawa wetu walioshindwa kama usemavyo?Ukute mleta mada toka uzaliwe hujawahi kufika hata mjini achilia mbali kujua wizi, upotevua wa spea za magari yaliopo bandarini na ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi karibia wote waliopo pale bandarini.
Bandari toka ianzishwe miaka zaidi ya 50 huko hadi leo haijawahi kuinufaisha serikali, wala mwananchi wa kawaida ( pengine ukiwemo mleta mada). Na ndio maana awamu zote zikiingia zimekuwa zikijaribu kubadili viongozi wa bandari bila mafanikio.
Tatizo kubwa ni mfumo mbovu wa uendeshaji wa bandari ambapo wanufaika wakuu ni hawa wanaopiga kelele leo ambao 85% walikuwa wameshatengeneza mfumo wa kupitisha biashara zao hapo bila kulipa kodi, huku wengine wakiitumia kusafirishia au kupitishia madawa yao ya kulevya.
Sasa hili swala la mkataba linawanyima usingizi kwani siku hao jamaa wadubai wakiingia itakuwa hamna janja janja tena ya kukwepa ulipaji wa kodi. Kila mtu atakamuliwa alipie mzigo wake ili serikali na kampuni vipate mapato yao.
Gesi kuna shida gani?Hata mikataba ya gesi ya Mtwara nayo ilitetewa hivi hivi. Ila mwisho wa siku kilio kila mahali.
Wakiwa wamejoto ufahamuBado kuna wazalendo wachache na mnachosomewa ni kidogo mkipewa full utajiuliza hawa walisaini wakiwa wamelewa au wakiwa wagonjwa?
Lengo ni kuweka kampuni bora DP World ambayo itaongeza ufanisi kazini ili wateja wetu kutoka katika nchi za Congo, Burundi, Rwanda, Uganda, Zambia, Malawi nk wawe wanapata mizigo yao kwa wakati bila longo longo la kutafuta mianya ya rushwa hadi kupelekea wengine kutaka kuhamia katika bandari za Mombasa na Lamu huko Kenya kutokana na utendaji wetu mbovu pale bandarini. Lengo lingine ni kuweka mifumo bora ya kudhibiti wizi bandarini, vishoka na wakwepa kodi ambao ndio wengi wanaolalamika mitandaoni, radioni na kwenye television mbali mbali.Kwa hiyo mwarabu atakuja na police wake, au ni hawahawa wetu walioshindwa kama usemavyo?
Sisi hatukatai wawekezaji tunachokataa ni vile vipengere vilivyomo kwenye mkataba.Ukute mleta mada toka uzaliwe hujawahi kufika hata mjini achilia mbali kujua wizi, upotevua wa spea za magari yaliopo bandarini na ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi karibia wote waliopo pale bandarini.
Bandari toka ianzishwe miaka zaidi ya 50 huko hadi leo haijawahi kuinufaisha serikali, wala mwananchi wa kawaida ( pengine ukiwemo mleta mada). Na ndio maana awamu zote zikiingia zimekuwa zikijaribu kubadili viongozi wa bandari bila mafanikio.
Tatizo kubwa ni mfumo mbovu wa uendeshaji wa bandari ambapo wanufaika wakuu ni hawa wanaopiga kelele leo ambao 85% walikuwa wameshatengeneza mfumo wa kupitisha biashara zao hapo bila kulipa kodi, huku wengine wakiitumia kusafirishia au kupitishia madawa yao ya kulevya.
Sasa hili swala la mkataba linawanyima usingizi kwani siku hao jamaa wadubai wakiingia itakuwa hamna janja janja tena ya kukwepa ulipaji wa kodi. Kila mtu atakamuliwa alipie mzigo wake ili serikali na kampuni vipate mapato yao.
Nani anakataa ubinafsishaji?Sio kila kitu serikali inaweza kusimamia mkuu. Hata huko Ulaya hasa Scandinavian Countries (Nimesoma huko) huduma za kibiashara zinafanywa na Private Sector na Government inakusanya mapato tu. Hii imeleta ufanisi sana.
Tatizo lipo kwenye vipengere vya huu mkataba.Tumia akili badala ya mihemko unayotengenezewa na wanaonufaika na bandari huku wewe ukitumika tu kwa niaba ya mafanikio yao na familia zao.
Hiyo DP World wapo mpaka Marekani, UK na katika nchi nyingine nyingi zilizoendelea kuliko Tanzania. Na huko wamepewa bandari kutokana na sababu kama hizi hizi za kwetu.
Je unafikiri Marekani na Uingereza kuipa DP World bandari zao ni kiashiria cha wao kutokuwa na uwezo wa kulinda hata mipaka yao na maliasili zao. Dunia ya leo sio ya kujifungia kwa kuendelea kulea ujinga, kama waliwekwa hapo kwa zaidi ya miaka 50 walishindwa kufikisha malengo yaliokusudiwa na serikali kutokana na wizi wao na uvivu wao basi acha serikali itafute watu wanaofahamu nimna ya kushughulika na mifumo ya bandari. Na ndio kilichofanyika katika nchi zote hata hizo kubwa nilizotaja hapo juu.
Uzuri wa raisi wetu ni kwamba ashawasoma watanzania na kuwajua vizuri. Ukiona mtu anapigania jambo ambalo tuka lianzishwe halijawahi kuwanufaisha wananchi basi ujue huyo anaepigania tayari ashanufaika nalo au bado linamnufaisha hadi leo.