CARDLESS
JF-Expert Member
- Apr 2, 2017
- 7,840
- 15,918
Mkataba umeuona au wewe umesoma MoUNani anakataa ubinafsishaji?
Tatizo lipo kwenye vipengere vya mkataba.
Ni vipengere vya kitapeli na kinyonyaji zaidi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkataba umeuona au wewe umesoma MoUNani anakataa ubinafsishaji?
Tatizo lipo kwenye vipengere vya mkataba.
Ni vipengere vya kitapeli na kinyonyaji zaidi.
Nani anayepinga ubinafsishaji?Mkuu achana nae huyo, kosa lake kubwa ni kuchukua akili yake na kuikabidhi kwa wanasiasa wetu uchwara, ambapo sasa kila linaloongelewa na wanasiasa hao lazima akubaliane nalo. Kamwe hawezi kuwa na ujanja wa kuhoji kile kinachosemwa kama ni uongo au ukweli. Lakini pia hawezi tena kutumia akili yake kufikiri nje ya box maana akili ishafungwa.
Kwenye post yangu namb #8 nimemjibu kama ulivyomjibu wewe mkuu. Kuna wajanja wanapiga hela za bure pale bandarini afu mleta mada anatumiwa kuja kuwasafishia njia bila kupewa chochote.
Yes nimeuona.Mkataba umeuona au wewe umesoma MoU
Uliona mikataba yao. PumbafuTumia akili badala ya mihemko unayotengenezewa na wanaonufaika na bandari huku wewe ukitumika tu kwa niaba ya mafanikio yao na familia zao.
Hiyo DP World wapo mpaka Marekani, UK na katika nchi nyingine nyingi zilizoendelea kuliko Tanzania. Na huko wamepewa bandari kutokana na sababu kama hizi hizi za kwetu.
Je unafikiri Marekani na Uingereza kuipa DP World bandari zao ni kiashiria cha wao kutokuwa na uwezo wa kulinda hata mipaka yao na maliasili zao. Dunia ya leo sio ya kujifungia kwa kuendelea kulea ujinga, kama waliwekwa hapo kwa zaidi ya miaka 50 walishindwa kufikisha malengo yaliokusudiwa na serikali kutokana na wizi wao na uvivu wao basi acha serikali itafute watu wanaofahamu nimna ya kushughulika na mifumo ya bandari. Na ndio kilichofanyika katika nchi zote hata hizo kubwa nilizotaja hapo juu.
Uzuri wa raisi wetu ni kwamba ashawasoma watanzania na kuwajua vizuri. Ukiona mtu anapigania jambo ambalo tuka lianzishwe halijawahi kuwanufaisha wananchi basi ujue huyo anaepigania tayari ashanufaika nalo au bado linamnufaisha hadi leo.
AtawezaBandari haijawahi kuinufaisha serikali kwa miaka zaidi ya 50
Sasa kama serikali ameshindwa kusimamia hiyo mifumo mibovu ya bandari ndo mtu binafsi au taasisi binafsi itaweza???
Kama kweli serikali imeshindwa then tuna mashaka na usimamizi wa serikali kwenye mipaka yetu , maliasili zetu,Mapato yetu, ulinzi na usalama wetu etc.
Serikali anatakiwa awe final say...most powerful institution ndani ya sovereign yake kushinda mtu binafsi au taasisi binafsi.
Hakuna muujiza mkubwa au nguvu au tactic mpya ambayo DP world anakuja nayo alafu serikali hawaijui kwenye usimamizi wa bandari.
Bandari pale wezi sanaTumia akili badala ya mihemko unayotengenezewa na wanaonufaika na bandari huku wewe ukitumika tu kwa niaba ya mafanikio yao na familia zao.
Hiyo DP World wapo mpaka Marekani, UK na katika nchi nyingine nyingi zilizoendelea kuliko Tanzania. Na huko wamepewa bandari kutokana na sababu kama hizi hizi za kwetu.
Je unafikiri Marekani na Uingereza kuipa DP World bandari zao ni kiashiria cha wao kutokuwa na uwezo wa kulinda hata mipaka yao na maliasili zao. Dunia ya leo sio ya kujifungia kwa kuendelea kulea ujinga, kama waliwekwa hapo kwa zaidi ya miaka 50 walishindwa kufikisha malengo yaliokusudiwa na serikali kutokana na wizi wao na uvivu wao basi acha serikali itafute watu wanaofahamu nimna ya kushughulika na mifumo ya bandari. Na ndio kilichofanyika katika nchi zote hata hizo kubwa nilizotaja hapo juu.
Uzuri wa raisi wetu ni kwamba ashawasoma watanzania na kuwajua vizuri. Ukiona mtu anapigania jambo ambalo tuka lianzishwe halijawahi kuwanufaisha wananchi basi ujue huyo anaepigania tayari ashanufaika nalo au bado linamnufaisha hadi leo.
Kufika mjini si kuchanganua hoja. Changia hoja na siyo umahiri wa kuwa mjiniUkute mleta mada toka uzaliwe hujawahi kufika hata mjini achilia mbali kujua wizi, upotevua wa spea za magari yaliopo bandarini na ufisadi mkubwa unaofanywa na viongozi karibia wote waliopo pale bandarini.
Bandari toka ianzishwe miaka zaidi ya 50 huko hadi leo haijawahi kuinufaisha serikali, wala mwananchi wa kawaida ( pengine ukiwemo mleta mada). Na ndio maana awamu zote zikiingia zimekuwa zikijaribu kubadili viongozi wa bandari bila mafanikio.
Tatizo kubwa ni mfumo mbovu wa uendeshaji wa bandari ambapo wanufaika wakuu ni hawa wanaopiga kelele leo ambao 85% walikuwa wameshatengeneza mfumo wa kupitisha biashara zao hapo bila kulipa kodi, huku wengine wakiitumia kusafirishia au kupitishia madawa yao ya kulevya.
Sasa hili swala la mkataba linawanyima usingizi kwani siku hao jamaa wadubai wakiingia itakuwa hamna janja janja tena ya kukwepa ulipaji wa kodi. Kila mtu atakamuliwa alipie mzigo wake ili serikali na kampuni vipate mapato yao.
Vipengele vipi, hebu viweke hapa kila mtu avione ili na sisi tuuone ubaya wa mkataba.Sisi hatukatai wawekezaji tunachokataa ni vile vipengere vilivyomo kwenye mkataba.
Usisahau nimekuomba hivyo vipengele unavyosema ndio tatizo, ili na sisi tuvione.Tatizo lipo kwenye vipengere vya huu mkataba.
Where's a prove mkuu, i'm still wait....Nani anayepinga ubinafsishaji?
Tunachopinga sisi ni vile vipengere au yale makubaliano ni makubaliano ya kinyonyaji na kitapeli.
Yale makubaliano yanaonekana ni kama uuzaji wa bandali mazima.
Wewe ulieuona tuweke sasa hapa na sisi tuone punguani wa kike wewe.Uliona mikataba yao. Pumbafu
Ndio hawa ambao washaanza kulia tayari mkuu.Bandari pale wezi sana
Aise na hao dp world wakitia maguu pale watu waliyozoea maisha fulani
Pale watalia sana
Ova
Haya tusaidie katika hayo niliomuomba mwenzako anaetetea ujinga, ila mpaka sasa hajajibu kitu 👇Kufika mjini si kuchanganua hoja. Changia hoja na siyo umahiri wa kuwa mjini
Usisahau nimekuomba hivyo vipengele unavyosema ndio tatizo, ili na sisi tuvione.
Tatizo la vijana wengi wa humu mitandaoni ni kukimbilia kuwaamini watu ambao wanakula neema za nchi kwa kupitia ujinga wa hao wanaowaamini. Ndiomaana leo hii haishangazi kumkuta mtu anajifanya kupigania haki yako wakati tayari yeye ashatajirika kupitia jasho lako.
Wengi wameambiwa huu mkataba una vipengele vibaya, lkn bado nyie mnaoambiwa hamjawhoji hao wanaowaambia wawaoneshe hivyo vipengele, mmekalia kushupaa kwa faida zao wenyewe pale bandarini, huku wewe unaeshupaa ukitumia data zako ulizonunua kwa hela yako.
Tatizo ni mkatabaSio kila kitu serikali inaweza kusimamia mkuu. Hata huko Ulaya hasa Scandinavian Countries (Nimesoma huko) huduma za kibiashara zinafanywa na Private Sector na Government inakusanya mapato tu. Hii imeleta ufanisi sana.
Kwenye uzi huu umeweka hoja zipi za kupinga?Wakuu,
Kwenye hizo kashfa za epa, escrow, richmond, kagoda, meremeta, na kashfa kibao nazo zilipata waliozitetea kwa nguvu kubwa sana.
Na baadhi ya vyombo vya habari vilijitoa kutetea na baadhi ya waandishi waliandika kutetea sana hizo kashfa lakini mwisho waliishia kuaibika tu.
Hivo msishangae DP world inavotetewa kwa nguvu kubwa ikiwapo kununua media karibu zote, kisafirisha waandishi kama mifugo huko na kule ilmradi wafanye utetezi.
Cha msingi wapingaji tusikilizwe hoja zetu na zizingatiwe kwa maslahi ya nchi maana hapo tutakua tumewafichia aibu kiutu uzima kwa ujinga uliofanyika.
Wewe kwenye hili ungekaa kimya tu maana kama unautetea Mkataba wa DP World ni kwasababu ya udini tu na huna lolote!Tofauti ya mikataba hiyo mingine na huu ni kwamba huu serikali inayoongozwa na samia imeamua kuwaweka wazi hata kabla bado hawajaingia kwenye mkataba wenyewe,
Kinachosikitisha badala ya kutoa maoni yenu na kusema nin mnataka kifanyike mmekalia kulia kwa propaganda za uzanzibar na udini,huku mkiongopea et kuwa bandari imeuzwa,nan kawaambia bandari imeuzwa??
Kitu kingine kinachoonekana katika hili wapiga madili hapo bandarin wanaogopa akija mwekezaji hapo atawaumbua na mirija yao yoote ya wizi itafungwa,no way out majiz yamejaa sana bandarin lazima patafutiwe mwarobanin pale