Watu
JF-Expert Member
- May 12, 2008
- 3,231
- 1,471
Mzee wa data, hebu fuatilia kwa kina. Huyu Mzee wake mbona alikuja miaka ya 70 pale Kigoma kufanya biashara za kawaida tu? Hawa si watanzania, ni wakimbizi toka Burundi. Fuatilia kwa kina. Hata baadhi ya fedha za EPA zimepelekwa huko kwao. Nilishangaa sana kusikia wakijitambulisha kuwa ni wamanyema wa ujiji!
.......ndiyohiyo
Field Marshall hana data, kina Lukaza ni watoto wa wakulima na wafanyakazi kama tulivyo wengi wetu, hii tabaka ya wafanyabishara si imeibuka juzi juzi tu baada ya trade libirazation ya mzee mwinyi?
NI kweli watoto wengi wa mzee Lukaza ni wahangaikaji mjini na si kidogo, tunakimbizana kwenye mishe mishe za kila siku hapa mjini, Jhonson yeye alikuwa juu ya msatari ndio baadae ni tumekuja jua kumbe ilikuwa na EPA na si hizi biashara za kuandika invoice?!!