EPA na mambo yake

EPA na mambo yake

Mzee wa data, hebu fuatilia kwa kina. Huyu Mzee wake mbona alikuja miaka ya 70 pale Kigoma kufanya biashara za kawaida tu? Hawa si watanzania, ni wakimbizi toka Burundi. Fuatilia kwa kina. Hata baadhi ya fedha za EPA zimepelekwa huko kwao. Nilishangaa sana kusikia wakijitambulisha kuwa ni wamanyema wa ujiji!

.......ndiyohiyo

Field Marshall hana data, kina Lukaza ni watoto wa wakulima na wafanyakazi kama tulivyo wengi wetu, hii tabaka ya wafanyabishara si imeibuka juzi juzi tu baada ya trade libirazation ya mzee mwinyi?

NI kweli watoto wengi wa mzee Lukaza ni wahangaikaji mjini na si kidogo, tunakimbizana kwenye mishe mishe za kila siku hapa mjini, Jhonson yeye alikuwa juu ya msatari ndio baadae ni tumekuja jua kumbe ilikuwa na EPA na si hizi biashara za kuandika invoice?!!
 
Mtanzania,
labda ni mapema mno kusema, lakini kwa taratibu za benk na jinsi kiasi cha pesa kilivyokuwa kikubwa hawa ni dagaa tu. Haiwezekani kwa kiasi hicho cha fedha waziri, rais wa Tanzania asijue? Usalama wa taifa walikuwa wapi uhujumu wa ajabu unafanyika na tayari tuna maanget wetu hapo? by the way sijui at that time ni nani alikuwa hapo katika kitengo cha kudhibit fraud maana kuna wakati Said Mwema alikuwa pale, alpoondoka ndo akaingia huyu RPC wa kilimanjaro.
Haki itatendeka ni pale wote hawa watueleze wanachokijua lakini kuwabeba hawa unamwacha deputy gavana wa wakati ule ni kutudanganya tu, Mkapa na Mramba wanajua hili toka siku ya kwanza. Kitu ambacho watanzania wanahitaji kujua zaidi ya yote ni nani aliye wakusanya wafanyabiashara hawa na kuwaambia kuna pesa ya kujichotea?
 
Tusianze kuzushia watu ili mradi iko mahakamani yatajulikana tuache hadhithi ya mkurya kuuliza swali swali kabla mzungumzaji hajaaza.
 
makubo alikuwa na kampuni nyingine ilikuwa inaitwa technical trading jirani na umoja wa vijana, ya ku-supply chemicals mojawapo ni MUTEX. habari ndiyo hiyo
 
Nimezungumza na mtu aliyetoka kumtembelea dada yake anayehusika katika kesi hii.Anasema wako more than comfortable yeye na mumewe.Alichomhakikishia mdogo wake ni kwamba akitoka hapo(mahakamani) atakuwa ameuaga umaskini.Kuna dili inachezwa hapa,tusubiri tuone.
 
utajiri una raha/maana kama kila utakapo pita, watu wanajuwa ww JIZI?
 
Nimezungumza na mtu aliyetoka kumtembelea dada yake anayehusika katika kesi hii.Anasema wako more than comfortable yeye na mumewe.Alichomhakikishia mdogo wake ni kwamba akitoka hapo(mahakamani) atakuwa ameuaga umaskini.Kuna dili inachezwa hapa,tusubiri tuone.

Mjinga huyo, anajipa matumaini ya bure. Ukikaa Ukonga mwezi na ukatoka salama jua wewe ngangari, vinginevyo huyo dada baada ya mwezi watu watamkimbia mitaani.

Jambo zuri ni kwamba sasa wana mahali pa kutolea hivyo vimemo ambavyo tumeambiwa sana kwamba wanavyo.

Polisi pia wameshasema uchunguzi umekamilika, ina maana hii case itaanza kusikilizwa mara moja.
 
Nimezungumza na mtu aliyetoka kumtembelea dada yake anayehusika katika kesi hii.Anasema wako more than comfortable yeye na mumewe.Alichomhakikishia mdogo wake ni kwamba akitoka hapo(mahakamani) atakuwa ameuaga umaskini.Kuna dili inachezwa hapa,tusubiri tuone.

Mkuu Kalunde naomba ufafanuzi zaidi hapo juu maana unadai umasikini utaagwa wakitoka mahakamani...Je wanatarajia kufungua kesi ya fidia ama ni new EPA?
Sijaelewa hapo mkuu naomba uwe more specific...Maana wengine wanapokumbwa na kesi kama hizo wanafikria kufilisika na wao wanadai ni utajiri mpya juu ya utajiri.
Makubwa haya...Ebu weka data mkuu.
 
Mmmmhhh Makubo namfahamu.
Kweli kwa miaka mingi baada ya Chapa jogoo kufa naye alikuwa amezimia kwa ukwasi. Pesa ilikuwa imekwisha kabisa.
Lakini kwa miaka miwili ya nyuma ghafla aliibuka na mipesa kibao ambayo hakuna aliyejua aliipata kivipi.
Niliona akifadhili vikundi vya kidini kule kwao na pesa aliyokuwa nayo ilikuwa inatisha. Aliitisha harambee ili achangie utengenezaji wa kanisa na aka hire mtu wa catering kwa kulisha karibu kijiji kizima🙂
Wanaomfahamu walishangaa kuona jamaa kaibuka kiaina tena. Kumbe ilikuwa ni design hii? Sasa naweza kuchora picha na kujua nini kilikuwa kinaendelea.

Na huo utaratibu wa kufadhili vikundi vya kidini alikuwa nao ama ulianza mara baada ya EPA?
Maana kama mtandao ndio walipanga haya mambo...Basi usishangae kusikia pesa nyingi tu zilipelekwa makanisani kama utaratibu wa wanamtandao ulivyotaka.
Kuhusu familia hizo kuwa na pesa kabla ya EPA hilo linawezekana...Kwa mfano Njake alikuwa na pesa kabla ya EPA.
 
Field Marshall hana data, kina Lukaza ni watoto wa wakulima na wafanyakazi kama tulivyo wengi wetu, hii tabaka ya wafanyabishara si imeibuka juzi juzi tu baada ya trade libirazation ya mzee mwinyi?

NI kweli watoto wengi wa mzee Lukaza ni wahangaikaji mjini na si kidogo, tunakimbizana kwenye mishe mishe za kila siku hapa mjini, Jhonson yeye alikuwa juu ya msatari ndio baadae ni tumekuja jua kumbe ilikuwa na EPA na si hizi biashara za kuandika invoice?!!

Wakati yeye ni mtutsi, wenzake Farjala na Maranda ni watu wa DRC. Inabidi kuchunguza kwa kina kwanini kwenye kupokea fedha za EPA vigogo wa serikali wamewatumia watu ambao ni mguu nje mguu ndani kama hawa.

Hawa historia yao ni kama yule kada mwingine wa CCM Rajab Mwilima ambae tulisema sio raia watu wakabisha lakini baadaye uhamiaji wakaja kuthibitisha kuwa si raia na anatumia jina la bandia la Mwilima. Hata CCM baada ya kumgundua tumempiga chini.

Hata hawa nao soon mafaili yao ya uraia feki yatawekwa wazi.

...........ndiyohiyo
 
Nimezungumza na mtu aliyetoka kumtembelea dada yake anayehusika katika kesi hii.Anasema wako more than comfortable yeye na mumewe.Alichomhakikishia mdogo wake ni kwamba akitoka hapo(mahakamani) atakuwa ameuaga umaskini.Kuna dili inachezwa hapa,tusubiri tuone.

Wanawapa moyo tu!mambo si rahisi kihivyo!
 
(toka kwa michuzi)..

Wafanyakazi wanne wa benki kuu ya tanzania (bot) leo wametinga mahakamani kujibu mashtaka yanayohusiana na wizi wa pesa za epa wa zaidi ya shilingi bilioni 207 mali ya bot.

Wafanyakazi hao waliosimama kizimbani ni pamoja na:
1. Kaimu mkurugenzi wa idara ya madai bi. Esther komu.
2. Kaimu kati bu wa benki bw. Bosco kimela
3. Imani mwakyosa
4. Sophia joseph

wote wamefika mbele ya hakimu mkazi wa mahakama ya kisutu mh. Hezron mwankenja. Habari kamili baaadaye

Kina Chaula na Martha Nderimo wameishia wapi? au wameonekana hawana makosa? just curious
 
[ valuation aliyofanya kwa ajili ya mali za manj haikuwa kwa ajili ya kushauri au kuishinikiza nssf kununua mali hizo, nssf waliomba ushauri kutoka kwa mthamini wa serikali ili awashauri kuhusu bei halali na wakapewa bei na kiukubaliana na ushauri huo, valuation ya uclas haikutumika katika kushauri bei ya kuuza ua kununua maghala hayo. Si vema kuchafua majina ya watu hapa jamvini. Huyu mama unayemtaja ni maskini wa kutrupa, inawezekama mali alizo nazo hazifiki hata 20m! Na walio karibu naye wanamwona kama mlokole aliyekataa kabisa huu ufisadi, tuchunguze kwa kina kabla ya kuhukumu watu
 
Mmmmhhh Makubo namfahamu.
Kweli kwa miaka mingi baada ya Chapa jogoo kufa naye alikuwa amezimia kwa ukwasi. Pesa ilikuwa imekwisha kabisa.
Lakini kwa miaka miwili ya nyuma ghafla aliibuka na mipesa kibao ambayo hakuna aliyejua aliipata kivipi.
Niliona akifadhili vikundi vya kidini kule kwao na pesa aliyokuwa nayo ilikuwa inatisha. Aliitisha harambee ili achangie utengenezaji wa kanisa na aka hire mtu wa catering kwa kulisha karibu kijiji kizima🙂
Wanaomfahamu walishangaa kuona jamaa kaibuka kiaina tena. Kumbe ilikuwa ni design hii? Sasa naweza kuchora picha na kujua nini kilikuwa kinaendelea.
Duh!jamani mi nakumbuka kulikuwa na harambee moja pale kwenye kanisa la agape.mkewe akatoa milion tano.jamaa alipokuja akasema hiyo ni ya mama mtumishi wa mungu .yeye akatoa dola elfu kumi.na ni kama miaka miwili sasa na akamtaja na huyo Johnson aakachangie.
 
Wanasema kutoa ni moyo na si utajiri...Hapa kutoa kwa hawa ndugu ni utajiri, ufisadi ama ni moyo?
Mchungaji Ladislaus Modest anaweza kutupa mwangaza kwenye hili suala ili pamoja na mengine...Kondoo wake wajifunze.
 
Nimezungumza na mtu aliyetoka kumtembelea dada yake anayehusika katika kesi hii.Anasema wako more than comfortable yeye na mumewe.Alichomhakikishia mdogo wake ni kwamba akitoka hapo(mahakamani) atakuwa ameuaga umaskini.Kuna dili inachezwa hapa,tusubiri tuone.

Mkuu mimi sishangai kwa hilo kwani mabwenga siku zote deal zao ni angamizi (TICS, IPTL na nyinginezo nying tuu)
 
mkora,ili neno 'mabwenga'just does not sound good,as a member of JF,i believe you are bigger then this,using gutter and street expletives on a particular tribe is at most dihumanising.if you deem me wrong eg overreacting on my part,then apologies in advance-many thanks
 
.....Son of Alaska AKA Bwenga!
 
JK amekamata wale ambao wako mbali na chain yake. Lakini the only easy way kufanya hii kesi iwe complicated ni kwa hao wausika kuthrow beans on air.
Kama wanajua waziri, mbunge, katibu anybody ambaye ni status quo na ameusika then the only way ni kuthrow jina lake on the air.
 
Watu mlioko karibu na vianzo vya kuaminika, hebu tupeni taarifa updated kuhusu hao watatu waliopandishwa leo mahakamani ni akina nani. Jeetu amepata dhamana?
Niko mbali na mji kidogo hebu nipeni taarifa kamili. Natanguliza shukrani
 
Back
Top Bottom