EPC + F Siyo Muujiza na Hakuna Utawala Ambao Ungeshindwa Kuutumia Kama Ungekuwa ni Absolute Solution

Acha wivu mtoto wa kiume.

Kusema kwamba eti EPC +F ndio utaratibu ghali kuliko zote ni ujinga mwingine uliojaza kichwani mwaka Kwa sababu za wivu..

Kwanza ukiangalia unit cost per km unapata maximum of 1.9bl ,Sasa Kuna Barabara ambazo Wala hazikutumia hii model tena za kutosha gharama yake ni zaidi ya 2.2 bln,Nina mifano kama yote..

Faida za EPC+F ni zifuatazo

-Unajenga Barabara nyingi Kwa mda mfupi,
-Unajenga Barabara Kwa haraka zaidi na immediately zinaanza kuzalisha,
-Supervision Cost ya ku hire Consult hakuna so umesevu hela,
-Contractor mwenyewe ndio bearer wa risks zote hivyo atakuwa makini kujisimamia ,hakuna haja ya kugombana na contractor site,
-Gharama ni nafuu in relation to time yaani opportunity cost yake ni ndogo .
- Makubaliano ya kimkataba ni concessional agreement hivyo hakuna pressure Kwa Serikali kulipa maana inakuwa ni mda mrefu na hapa zile riba za malipo kuchelewa hakuna..

Sasa Ukiwa mchumi makini Utaelewa maana ya time factor kwenye Uchumi ila Ukiwa utopian basi utabakia huko huko kusema ooh sijui mkandarasi anaepata faida na blaa blaa za kijinga kama hizo maana hakuna kazi ambayo contractor anatoa Msaada in any construction model..

Mwisho unatakiwa utoe respect Kwa Prof.Mbarawa na Serikali ya Samia Kwa ku reverse traditional model ambayo imetuchelesha sana..

Mambo ya JK kujenga Km.nyinginsijui nani bila figures ni uchawi harafu Samia ndio kwanza ana miaka 2.5 hao unawataja walikaa miaka 10.
 
Waelewa wamekuelewa
 
Wivu baada kupigwa za uso.Unatumia EPC+F kama una pesa na akili,wajinga wajinga kama Wajamaa hawawezi kutumia..

Hiki ni kiwewe baada ya kuona legacy inaenda kufunikwa..

Mengine ni blaa blaa na ujinga wa kujifariji tuu.

Wewe mjinga unajifanya mjuaji. Mtu hujui hata idadi ya kilometer za barabara za lami, halafu unajifanya una ufahamu.

Ungekuwa japo unauelewa mdogo tu usingeuliza hata baadhi ya maswali ya kijinga kama haya ya utawala wa Kikete ulijenga kilometer ngapi? Ungefanya tu arithmetic ndogo, Tanzania ina km ngapi za barabara za lami (mpaka sasa ni approximately 20,000)? Tawala nyingine zote (awamu ya kwanza, ya pili, ya 5 na ya 6, zimejengwa km ngapi (almost 8,000)? Zilizobakia ndiyo zilijengwa wakati wa utawala wa Kikwete (approximately 12,000). Ufahamu kuwa Tanzania, nje ya hizo barabara mpya zilizopangwa kuchongwa kwenye EPC , ina trunk road kilometres approximately 23,000. Na total roads network ya Tanzania ni approximately 90,000.

Kwenya mambo mengine, sijui kulinda legacy, umeandika ujinga. Sijui wewe unayehangaika na mambo ya uchawa, hayo kwangu hayapo. Inaelekea huelewi hata maana ya legacy. Nani alikudanganya ujenzi wa barabara ni legacy.

Legacy ni fikra au falsafa. Ni kitu kinachoishi milele. Barabara huchakaa na kujengwa upya, hujengwa nyingine mpya tena zenye ubora zaidi, lakini falsafa huishi milele.

Mtu mwenye legacy hasa, hapa nchini ni Mwalimu Nyerere, ndiyo maana unaona kila wakati watu wananukuu falsafa na kauli zake kwa sababu zinaishi, hazichakai wala kufa.

Mbarawa kutumia namna nyungine ya kukopa kwa sababu hatuna pesa, nao unauita ni uvumbuzi?
 
Mlinda ligacy shida nini mbona unatapatapa? Harafu usikariri ndio maana unakuwa mjinga,simple dfn ya legacy ni Alama na sio lazima defn ya Wazungu ikawa hivyo Kwa Jamaa zote,punguza unyumbu na kukariri..

Machadomo nyie Huwa ni Majinga sana ,Huwa mnajikuta mna akili kumbe makopo tuu yaliyokariri 😁😁
 
Safi sana Bora umemjibu huyo nyumbu wa mbowe
 
Wewe mjinga unajifanya mjuaji. Mtu hujui hata idadi ya kilometer za barabara za lami, halafu unajifanya una ufahamu.

Ungekuwa japo unauelewa mdogo tu usingeuliza hata baadhi ya maswali ya kijinga kama haya ya utawala wa Kikete ulijenga kilometer ngapi? Ungefanya tu arithmetic ndogo, Tanzania ina km ngapi za barabara za lami (mpaka sasa ni approximately 20,000)? Tawala nyingine zote (awamu ya kwanza, ya pili, ya 5 na ya 6, zimejengwa km ngapi (almost 8,000)? Zilizobakia ndiyo zilijengwa wakati wa utawala wa Kikwete (approximately 12,000). Ufahamu kuwa Tanzania, nje ya hizo barabara mpya zilizopangwa kuchongwa kwenye EPC , ina trunk road kilometres approximately 23,000. Na total roads network ya Tanzania ni approximately 90,000.

Kwenya mambo mengine, sijui kulinda legacy, umeandika ujinga. Sijui wewe unayehangaika na mambo ya uchawa, hayo kwangu hayapo. Inaelekea huelewi hata maana ya legacy. Nani alikudanganya ujenzi wa barabara ni legacy.

Legacy ni fikra au falsafa. Ni kitu kinachoishi milele. Barabara huchakaa na kujengwa upya, hujengwa nyingine mpya tena zenye ubora zaidi, lakini falsafa huishi milele.

Mtu mwenye legacy hasa, hapa nchini ni Mwalimu Nyerere, ndiyo maana unaona kila wakati watu wananukuu falsafa na kauli zake kwa sababu zinaishi, hazichakai wala kufa.

Mbarawa kutumia namna nyungine ya kukopa kwa sababu hatuna pesa, nao unauita ni uvumbuzi?
 
Umeeleza kitaalam na lugha nyepesi.
Nimepata somo zuri kuongeza uelewa
 
You of such level of idiocy, believe you are in a position of questioning intelligence of astute persons?

Legacy is not coming from Swahili, its proper meaning only emerges from its root language not from translation.

Mtu hajui hata vitu ambavyo ni very basic lakini anaamini ana kiwango cha kufundisha wanaomzidi uelewa hata ya mara 10 yake!!
 
Acha kukariri wewe nyumbu,ndio maana Ulaya Kwa Waingereza hawana Ugali ila English ya EAC Ina ugali..

Nyumbu ni nyumbu tuu usiwe mjinga wa kukariri Kila kitu kinaweza kuwa na maana kulingana na wapi kinatumika,lugha Huwa inakua kama matako Yako yanavyokua ukivimbiwa ruzuku ya Samia.
 
Sasa nimepata majibu sahihi kuhusu huo utaratibu wa EPC + F.

Shukran sana mleta mada, umenitoa tongotongo.
 
Ona hili boya linavyoropoka upuuzi.

Unazijua km 12*000 wewe nyumbu kweli? Nyumbu ni nyumbu tuu..Barabara ambazo ziko paved Hadi Sasa Tanzania nzima ni less than 12,000km out of network ya TanRoads 36,700km, Kwa hiyo JK ndio alijenga zote km 12,000 au siyo πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Kwa sababu za watu wenye mawazo ya kijinga kama wewe ndio manaa Kwa miaka zaidi ya 60 tumejenga km chache ,Samia amekataa kuendelea na huu ujinga uliowajaa kwenye vichwa vyenu..

Jitu halijui hata network ya Barabara za TanRoads na za Tarura linaropoka tuu
 
Muombe Msamaha Huyu Jamaa, EPC yako imefeli vibaya!
 
CC: Saa100
 
Hivi huu mradi ulipotelea wapi? Mambo mengine nchi hii yanashangaza na ile mikataba wakasaini bungeni yalikua maigizo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…