Ephraim Kibonde Jahazi Show

aisee watu wamekereka enhee ... aliongea nini jana huyu ndugu??

 
:confused2::confused2::confused2::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::confused2::confused2::confused2:

Ha ha ha... Kwamba kabahatika kusikiliza pumba... ha ha ha... Voice uko makini mkuu!
 
Mkuu Elli inakuwaje unaweka Title ya namna hiyo. Napata hasira zaidi juu yako kuliko juu ya Kibonde mwenyewe. Futa Title hiyo haraka, unamwomba nani ukuonee huruma?

Asante Mpwa, nilitaka zaidi ku-catch attention, sina huruma na siwezi kuonewa huruma na ile takataka. Thanks
 
Kibonde ni mjinga kwa sababu haangalii wala kufikiria anachozungumza, anaropoka akifikiri kwamba wote ni wajinga kuliko yeye......pls alichoongea huyu jamaa jana machozi yalikaribia kunitoka. Sitaki kukumbuka tena
 
Asante Mpwa, nilitaka zaidi ku-catch attention, sina huruma na siwezi kuonewa huruma na ile takataka. Thanks

Tuko pamoja. Nilidhani unataka kuleta habari za "taarifa za kiintelijensia."
 
ni matokeo ya malezi, amelelewa na kuyashika vyema mafundisho ya sisiem hivyo lugha anayotumia iko karibu sana na lugha za kina Tambwe Hiza, Mary Chatanda , Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ,... the list can be expanded to N , where N <= ccm members (maana si wote wameiva namna hiyo)
 

Wewe si kilema wa kuonewa huruma. Kibonde kama jina lake ni mpuuzi tena sana usituletee thread inayohusu huyo mtu hujui tajiri yake ni Manji na CCM?
 
Makamba, Kinana, January...and the list ends
 
Wewe si kilema wa kuonewa huruma. Kibonde kama jina lake ni mpuuzi tena sana usituletee thread inayohusu huyo mtu hujui tajiri yake ni Manji na CCM?
Hilo nalo neno, wa kunionea huruma awe kibonde??? Some Content Mpwa, aaaah tatizo tulikimbia Literature ya akina Man of the People na An Enemy of the People....nimekusoma mpwa, ngoja na mie nikamsikilize saa izi anaongea utumbo gani tena
 

Tatizo watu wengi walioko kwenye media bongo ni vilaza sasa hiyo intelligent analysis/critical thinking/investigative journalism wataifanya vipi wakati shule ni zero?
Wanachokiongea hawajui zaidi ya kupewa karatasi na kusoma ama kupiga stories ambazo ni pumba tu.
Kibonde shule kilaza so hiyo ndio mavuno mtakayoyapata akiwa hewani.
 
Kaka kwani humjui Kibonde hana tofauti na Vibonde wengine hana jipya ni mtu wa kujipendekeza akingoja kufadhaliwa kwa kuwapaka watu mafuta tuna mjua ila tatizo ni hiyo media ameitumia vibaya nashindwa kucoment zaidi sababu siku sikia hicho kipindi.
 
With all my due respect to you mkuu...
Unapoanzisha thread kwenye forum kama hii kwa ajili ya mtu wa jinsi hii, huoni kwamba unampa ujiko asiostahili?

Au?
 

Hahaa nimekusoma vizuriii, lakini haina haja ya kumpenda ki agape mpuuzi kama huyu maana mshikaji inasemekana anasambaza ngoma kwa watoto wa Shule( source: albam ya ant virus- vinega wa bongo)

🙂
teh!
 
Tatizo hapa mnamponda,,lakini mkukutana kwenye viota vya ulabu huku mkiangalia mpira kwenye projector huwa mnamwona mjanja.

Huu ni unafiki mkubwa.
 
Exposure ndogo.... kama hawezi hata kusoma alama za nyakati... aachwe lakini ataelewa hivi karibuni watanzania wanahitaji nini.....
 
Katutumia salamu kama nani? kwa sababu ya thread niliyoanzisha leo? aende zake huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…