Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I am not a hater but yesterday i hated this person to the most!! Mungu anisamehe tu kwani baadaye ilinilazimu kuswali kuondoa hiyo hatredness but naamini nastahili pia kumshauri huyu ndugu.
Kama unapita hapa Ephraim ... ningekushauri sana uwe makini na propaganda zako zisizo na mashiko ... unajipunguzia credibility kwa jamii katika mambo hata yasiyokuhusu ... ina maana wananchi, wanasheria, wanataaluma wote wanaozungumzia uchungu wao juu ya malipo ya dowans ni wehu!!??
Upuuzi ulioongea jana ni wakijinga sana kwa maslahi ya taifa hili ... wanachi wangapi wanataabika kijijini sababu ya matumizi mabaya ya rasilimali zetu?? acha upuuzi ndugu yangu ... sifia vitu vyenye mantiki na huna haja ya kujigeuza kuwa "enemy of the people"! kama ni njaa then do it in a brave way ... kujua sana kutakugharimu uhusiano wako na jamii! watu walikuponda sana a couple of weeks back for your unbalanced arguments, ukajaribu kuficha pumba zako for few days now unarudi kule kule; naamini u can do better than that man ... go out there and do it in a more balanced way ... for sure u'll be praized!! ni ushauri tu!!
:confused2::confused2::confused2::A S-confused1::A S-confused1::A S-confused1::confused2::confused2::confused2:
Mkuu Elli inakuwaje unaweka Title ya namna hiyo. Napata hasira zaidi juu yako kuliko juu ya Kibonde mwenyewe. Futa Title hiyo haraka, unamwomba nani ukuonee huruma?
Asante Mpwa, nilitaka zaidi ku-catch attention, sina huruma na siwezi kuonewa huruma na ile takataka. Thanks
ni matokeo ya malezi, amelelewa na kuyashika vyema mafundisho ya sisiem hivyo lugha anayotumia iko karibu sana na lugha za kina Tambwe Hiza, Mary Chatanda , Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ,... the list can be expanded to N , where N <= ccm members (maana si wote wameiva namna hiyo)Si Mpenzi wa kusikiliza kipindi chake cha JAHAZI lakini mara nyingi sana nimebahatika kumsikia Jamaa huyu akiropoka sana, kusema ukweli nilimheshimu sana Kibonde lakini kwa sasa namuona hana maana tena kwa sababu zifuatazo;
Anashabikia mambo yenye ukweli usiopingika, mfano swala la DOWANS ambalo jana alilizungumzia kwa mbwembwe sana, asijue kuwa anazidi kuharibuhali ya hewa, alidai kuwa nchi haiwezi kukosa usingizi kwa sababu ya mtu mmoja anaetaka madaraka kwa nguvu na kwamba kama ni suala la lkutaka kupigiwa kura basi asubiri 2015; sina tatizo na maoni yake kwa hili,, ugomvi wangu ni yeye kujifanya kuwa ndo mwakilishi wa Watanzania wote, aliongea kwa kebehi kubwa sana, je na sisi tutafute au tutumie nafasi zetu kumkebehi?
Pili, Kusisitiza kwake kuwa ni sahihi DOWANS kulipwa na kama kuna anaebisha basi akae kimya, nimemuona ni mtu asie busara kuliko hata mvuta bangi (samahani kama nimekosea)
Tatu, kutaka viongozi wa dini eti wasiingiliea mambo ya nchi ni ujinga kama wanasiasa; na hapa na mimi namuomba kuwa kama yeye si mwana siasa basi aachane na mambo ya siasa la sivyo aondoke kwenye utangazaji aje kwenye siasa.
La mwisho, nawaombeni sana, lugha ya kuwakebehi wengine na kuwaona hawana maana airekebishe upesi; akumbuke alivyokuwa anamponda Mr.Two, lakini yuko wapi sasa, mwenzie ni mbunge na bado yeye ni watch dog tena mropokaji mtaani anaetafuta umaarufu kwa madereva wa daladala na makondakta.
Na kama vipi basi arudi akaendelee na matangazo yake ya Zain yasiyo na impact yoyote.
Narudi tena baadae
Tuko pamoja. Nilidhani unataka kuleta habari za "taarifa za kiintelijensia."
Si Mpenzi wa kusikiliza kipindi chake cha JAHAZI lakini mara nyingi sana nimebahatika kumsikia Jamaa huyu akiropoka sana, kusema ukweli nilimheshimu sana Kibonde lakini kwa sasa namuona hana maana tena kwa sababu zifuatazo;

Makamba, Kinana, January...and the list endsni matokeo ya malezi, amelelewa na kuyashika vyema mafundisho ya sisiem hivyo lugha anayotumia iko karibu sana na lugha za kina Tambwe Hiza, Mary Chatanda , Mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ,... the list can be expanded to N , where N <= ccm members (maana si wote wameiva namna hiyo)
Hilo nalo neno, wa kunionea huruma awe kibonde??? Some Content Mpwa, aaaah tatizo tulikimbia Literature ya akina Man of the People na An Enemy of the People....nimekusoma mpwa, ngoja na mie nikamsikilize saa izi anaongea utumbo gani tenaWewe si kilema wa kuonewa huruma. Kibonde kama jina lake ni mpuuzi tena sana usituletee thread inayohusu huyo mtu hujui tajiri yake ni Manji na CCM?
kibonde anadhihirisha ule esemi wa masikini akipata ****** hulia mbwata........🙂
Ushauri wa bure kwa huyo Kibondeee- ajaribu kufikiri kabla ya kuzungumza na kama ana dini ajue ulimi ni mbaya kuliko upanga ukatao kuwili. Jaribu kwenda kwenye masomo ya juu kidogo uweze kufanya "intelligent analysis" ya hoja mbalimbali zinazotolewa jamvini. Sana sana unajidhihirisha u mtu wa namna gani. JIREKEBISHE.
Si Mpenzi wa kusikiliza kipindi chake cha JAHAZI lakini mara nyingi sana nimebahatika kumsikia Jamaa huyu akiropoka sana, kusema ukweli nilimheshimu sana Kibonde lakini kwa sasa namuona hana maana tena kwa sababu zifuatazo;
Anashabikia mambo yenye ukweli usiopingika, mfano swala la DOWANS ambalo jana alilizungumzia kwa mbwembwe sana, asijue kuwa anazidi kuharibuhali ya hewa, alidai kuwa nchi haiwezi kukosa usingizi kwa sababu ya mtu mmoja anaetaka madaraka kwa nguvu na kwamba kama ni suala la lkutaka kupigiwa kura basi asubiri 2015; sina tatizo na maoni yake kwa hili,, ugomvi wangu ni yeye kujifanya kuwa ndo mwakilishi wa Watanzania wote, aliongea kwa kebehi kubwa sana, je na sisi tutafute au tutumie nafasi zetu kumkebehi?
Pili, Kusisitiza kwake kuwa ni sahihi DOWANS kulipwa na kama kuna anaebisha basi akae kimya, nimemuona ni mtu asie busara kuliko hata mvuta bangi (samahani kama nimekosea)
Tatu, kutaka viongozi wa dini eti wasiingiliea mambo ya nchi ni ujinga kama wanasiasa; na hapa na mimi namuomba kuwa kama yeye si mwana siasa basi aachane na mambo ya siasa la sivyo aondoke kwenye utangazaji aje kwenye siasa.
La mwisho, nawaombeni sana, lugha ya kuwakebehi wengine na kuwaona hawana maana airekebishe upesi; akumbuke alivyokuwa anamponda Mr.Two, lakini yuko wapi sasa, mwenzie ni mbunge na bado yeye ni watch dog tena mropokaji mtaani anaetafuta umaarufu kwa madereva wa daladala na makondakta.
Na kama vipi basi arudi akaendelee na matangazo yake ya Zain yasiyo na impact yoyote.
Narudi tena baadae
Hahaa nimekusoma vizuriii, lakini haina haja ya kumpenda ki agape mpuuzi kama huyu maana mshikaji inasemekana anasambaza ngoma kwa watoto wa Shule( source: albam ya ant virus- vinega wa bongo)