Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde Jahazi Show

Comments zote hizi hakuna hata moja iliyom-dis Gadna moja kwa moja.
Hii inadhihirisha IQ ya Gadna iko juu kuliko ya Kibonde au Gadna anamtumia kibonde baada ya kujua ni kibonde.
 
kweli kabisa
Kibonde,gadna na ma*ay*wengine wa clouds levo yao ni za kina kanumba,aunt ezekiel,uwoya,malo,chege, na K wote vibaraka. Tunakosea sana tunapomjadili icon,legendary,mpambanaji uncle sugu na K hawa.
 
Mzee douglas umeua aisee, kibonde bwabwaa????????? hebu let him come forward akanushe.
 
Sikiliza mwenyewe madudu ya Kibonde ndani ya Cloudsssss FM jana akizungumzia mbwa pewa mimba na mtu..

clouds ni kampuni kubwa, wanapaswa kumpeleka kibonde na gadna shule wakajifunze how to mouthoff before the public
 
Actually sio kibonde tu, kuna- vobonde wengi sana, 99% ys Clouds Group including Kusaga ni CCM, ulimuona Reinfreid Masako anavyojibaraguza na CCM ndani ya ITV.

Ufupi wa mawazo ni mbaya zaidi ya ufupi wa kimo.
 
ni mtazamo wa kibondo ulivyo mdogo kwa kuwa nanapenda sana upambe!! Mpambe kabla ya kufanikisha kuwa karibu na tajiri au kiongozi KWANZA ANATAKIWA AJIKOMBE KWA KUMSIFIA kama afanyavyo kibonde. Kwenye siasa anajikomba, HILO LIKO WAZI kama siku moja nilipomsikia akimsifia January Makamba utadhani Mke anamsifia mume wake. Badilika kibonde una kipaji Jiamini kwa hilo hacha kuwa kama mkia wa mbwa...........
 
Asaaalam Aleikhuuum Ephraim Kibondeee toka hapa JF...........Mh. Mbunge Sugu anakupa hi pia anasema acha kufanya madudu redioni wewe ni mtu mzima sasa hivi wanao wanapokusikiliza na madudu huwa hawakumbii ukienda hm... Hata gadna pamoja na ukipunda wake naye huwa anakuenjoy kinoma...
 
uwepo wake jf utamsaidia kutambua mapungufu yake na kuweza kuyapunguza na kuyaondoa
 
Huyu jamaa huwa ni bingwa wa kuwatawadha watawala wanapokuwa wamejichafua.

Mfano muheshimiwa aliposema mshara wa 315,000/= halipi, yeye akawafuta wakubwa uchafu ule na kuwapaka uchafu huo viongozi wa vyama vya wafanyakazi huku akipotosha walichokuwa wakidai.........

lakini akaendelea kuisifia ccm, hivi amesoma ilani yao ya uchaguzi inayoonesha tupo karne ya ishirini? aache salamu za kinafiki

cheki hiyo ilani katika utangulizi kipengele namba 2... kinasema "

Aidha mafanikio ya azma hii unategemea kutambua hali na mazingira ya kisiasa, kiuchumi na kijamii ya karne ya ishirini ya dunia na ya nchi."

naambatanisha ilani hyo ili muisome mjue hawa wanaturudisha wapi

http://www.cms.ccmtz.org/doc/ilani.pdf
 
Kibonde mdogo wangu mbona umeharibika hivyo? unakumbuka wakati unaanza kazi pale CTN TV jengo la ushirika miaka ile ya tisini ulikuwa kijana mwema sana sasa haya yote yanayosemawa dhidi yako humu jamvini umejifunzia wapi?
 
Hivi nauliza jamani hiyo Clouds FM ni redio ya CCM? Halafu huyu kilaza Kibonde anapata wapi ubavu wa kuongea issues zinazogusa jamii hovyo hovyo namna hii, amenikera sana. Eti obvious Anna Makinda atashinda Uspika na hizo analysis zake mbuzi!!

Sijui nimpe adhabu gani huyu?

:sad::spider:
 
Ndugu zangu wana JF hao tunawafahamu inawezekana wana undugu na MS kwani muda wote wanafanya propaganda wakati mwenzao Tambwe kaacha propaganda za kijinga.

Issue ni popote tusiwakubali.
 
...niliacha kuisikiliza Clouds FM na kupiga marufuku nyumbani kwangu mtu awaye yote kufungua redio hiyo tangu September mwaka huu kwa sababu ya porojo za kishabiki za huyu dead-walking kibonde. Kikubwa ni kuacha kusikiliza hii redio au specifically hichi kipindi.
 
He!!!! hivi kumbe kuna watu bado wanamsikiliza huyo mpuuzi kibonde!!!
 
Back
Top Bottom