Ephraim Kibonde Jahazi Show

Ephraim Kibonde Jahazi Show

wana JF aminia katu huwezi kumfananiasha mchekechea na Sir. Isaack Newton.
Shida ni kwamba inaitaji uelewa wa msingi kumwelewa Dr Slaa na Sugu kuwa tuna matatizo ya kisera,kimkakati na commitment.
Inaitaji ujinga wa kiwango cha ROSTAM kumwelewa KIBONDE anaposema kuwa JK ni bomba
Kwa kuwa type za kibonde ni wengi ndio maana JK akaamua kuwatumia zecomedi masanja kuwazuga VIBONDE wasahau njaa.Hivi kama sio
mchekechea MATATIZO YA NCHI YANAITAJI burudani ya Ze comedi kuyaelezea. Kibonde unakonyezwa hadharani au unatoaga tigo?ni kweli ulifumaniwa wakakugonga ikawa mwanzo wa kutoa tigo?
 
Hapa tunachoangalia kwa sasa, sio Magufuli, tunaangalia maslahi ya nchi..hata kama huyo Magufuli akiingia madarakani atazidiwa na hao mafasidi waliomo ndani ya ccm kwa hiyo mambo yatakua yale yale...kwa hiyo swala hapa ni kuzika wafu na wazima! CCM itimkie tuanze upya!
 
Uzalendo wa kuuza Nyumba za serikali? kamwe hatasamehewa kwa hilo mpaka nyumba zote zirudi serikalini

Tumewahi kusema hapa tatizo sio Magufuli, anaweza akawa binafsi ni mzuri sana, na unajua mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ukilimnganisha na akina Mramba, Chenge, Karamagi na wenzie yeye ana unafuu..Ila tatizo linabaki alipo yeye atazidiwa nguvu na mafisadi.. Hata hizo nyumba za serikali huenda tukipata source nzuri huenda sio uamuzi wake! Kwa hiyo hatuwezi bado kumkubali akiwa ndani ya hicho chama dhalimu.
 
Mlishaambiwaga msiwasilize, waacheni waswahili wanasemaga maji na mafuta hayachanganyani ukweli wanauona sasa, bado gazeti la mwananchi
 
Tumewahi kusema hapa tatizo sio Magufuli, anaweza akawa binafsi ni mzuri sana, na unajua mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni, ukilimnganisha na akina Mramba, Chenge, Karamagi na wenzie yeye ana unafuu..Ila tatizo linabaki alipo yeye atazidiwa nguvu na mafisadi.. Hata hizo nyumba za serikali huenda tukipata source nzuri huenda sio uamuzi wake! Kwa hiyo hatuwezi bado kumkubali akiwa ndani ya hicho chama dhalimu.

Binafsi huwa najua ni Baraza la mawaziri ndilo lilibariki swala la uuzwaji wa nyumba na si individual!
 
Jamani manfahamu Kibonge anakula T.Shs ngapi from Zain peke yake kwenye 'Jingles' alizowatengenezea? Ni hela ndefu, mamilioni, hata huyo Sugu akae miaka mi-5 bungeni hazifikii....

Tuache kudharau kazi yake; kama binadamu ana makosa aliyoyafanya na ni wazi katika hilo! Il aunaposema "utatangaza mpaka ukome harafu huna tija kwenye utangazaji" sijui tunazungumzia tija gani maana jamaa nadhani ndiye anayeongoza kwa kula mkataba mnono na makampuni binafsi bongo kuliko yeyote yule!

 
KTK ILE HALI ISIYO YA KAWAIDA MTANGAZAJI WA CLOUDS AMEKIRI WANANCHI HAWAITAKI TENA CCM!MUOKOZI NI MAGUFULI 2015 HIVYO APEWE WIZARA NYETI VINGINEVYO 2015 BYE BYE!source JAHAZI LEO
mtangazaji wa clouds fm ndio nani katika jamii? eff her
 
Jamani acheni kumkweza kilaza!!!

We have sensitive issues to discuss, acheni mambo ya kumuongelea mtu ambaya hata angepigwa missile leo hapunguzi kitu kwenye mstakabali wa nchi hii!!!:A S angry:
 
Iyo ya Magufuli umeiongezea au ndo awalivyosema?
Give us the essense of the issued statement

Ni kweli hata mie nilisikia nikashangaa lakini ndio hivyo jamaa wanajaribu kurejea uswahilini baada ya kuona wamejikomba mwenzao kaenda magorofani wao wamebaki Manzese, Hata gazeti la Mtanzania nalo limejaribu kurejea kwa wananchi likisubiri kuchakachua tena next time.
 
kibonde kichani hamna kitu kabiiisaaa, nimewahi kuhudhuria harusi mbili ambazo yeye alikuwa MC, kwa kweli jamaa anachojua ni kujikomba tu kwa watu wenye nafasi maana alianza kujikomba kwa bwana harusi kiasi kwamba ndugu mmoja wa bwana harusi akatamani amropokee kwamba anataka binti wa watu aachike na yeye ndiye aol.....e?
jamaa anakera sana kufagilia watu wasiokuwa na uwezo kisa tu wana nafasi na wanaweza wakamkumbuka na yeye, sasaa jeuri yake itaishia kutangaza jahazi na kusheheresha wenzake
 
Looh, siku hiyo nilisikia hiyo interview ya bbc na wasanii, kweli nilichoka bidada anaongea pumba hakuna mfano, halafu ni mbishi anaongea tu hasikilizi hata kidogo. Hapo nika prove kwamba makundi ya wanaoipenda ccm ni mawili tu. 1 ni wale wanaofaidika moja kwa moja bila kujali kama ni kwa halali au la 2. Ni wale ambao mniruhusu niwaite ni wajinga kupindukia, wasiojua kinachoendela yaani wapowapo tu bila mpango wowote. Halafu tusisahau ahadi za jk za barabara za gorofa alizotuahidi, sijui kama ataweza maana nasikia hata bei ya cement imepanda baada ya cement kuadimika au watu wanarudisha gharama zao sasa, kama kuna yeyote nana habari ya cement kupanda tunaomba report.
 
ktk ile hali isiyo ya kawaida mtangazaji wa clouds amekiri wananchi hawaitaki tena ccm!muokozi ni magufuli 2015 hivyo apewe wizara nyeti vinginevyo 2015 bye bye!source jahazi leo

kibonde ni mtu mdogo sana kujadiliwa humu jamvini, tusfanye akawa mashuhuri kwa kuishabikia ccm kwake.
Sis mtu yoyote ilmradi anatoka ndani ya ccm hatumtaki 2015 kwani hatakuwa jasiri kukabiliana na system iliyokuza na kumuweka juu kisiasa, solution ni kukifanya ccm kuwa chama pinzani with effect from october 2015
 
Jamani manfahamu Kibonge anakula T.Shs ngapi from Zain peke yake kwenye 'Jingles' alizowatengenezea? Ni hela ndefu, mamilioni, hata huyo Sugu akae miaka mi-5 bungeni hazifikii....

Tuache kudharau kazi yake; kama binadamu ana makosa aliyoyafanya na ni wazi katika hilo! Il aunaposema "utatangaza mpaka ukome harafu huna tija kwenye utangazaji" sijui tunazungumzia tija gani maana jamaa nadhani ndiye anayeongoza kwa kula mkataba mnono na makampuni binafsi bongo kuliko yeyote yule!


Hapo uminigusa kaka haijalishi ni shilingi ngapi ngapi anapata kwa kutengeneza hivyo vitangazo vyake ambavyo havina hata concept, kwanza mwambieni hakuna neno masaa katika lugha ya kiswahili neno sahihi ni saa na ikiwa moja ni saa sio lisaa, looh hata lugha yetu wenyewe ni shida, halafu la pili iloe kampuni inaitwa ZAIN sio ZAINER au ZEINA kama anavyotamka yeye msikilize kwa makini pale mwisho, eti anasema 'zainer' a wonderful word, na wenyewe sijui wali approve vipi hiyo jingle, kitu kingine sauti ya mtangazaji ni identity ya product kwenye tangazo husika sasa, kama kibonde yuko fiti si angekuwa anabadili sauti badala ya kutumia sauti hiyohiyo mbaya kwenye dili zote anazopata au wewe unaonaje maana tangazo la zaini huwezi kutofautisha na tangazo lingine aliliofanya yeye, siku moja nilimsikia akijisifu kuwa wanmtumia yeye kwa sababu ana uwezo mimi sijauona kwa kweli mtanimehe
 
Kibonde? Mbona anaokolewa tu na T/Shirt za zain? Si mtu wa kushindana, ila yeye dezo lake ni kupewa tu!
 
Nilikuwa msikilizaji mzuri sana wa clouds FM asubuhi na jioni wakati wa kwenda na kurudi kazini. Awali ilikuwa ni radio yenye kuzungumzia mambo makubwa ya kisiasa na very critical. Ila karibia uchaguzi Kibonde akabadilika akaanza kuzungumzia mambo ya kijinga na ya kuudhi. Niliacha kusikiliza Clouds siku nyingi last week nikafungua nikamsikia Kibonde anachambua gazeti kuhusu habari ya wabubge waliioondoa samani maofisini kabla ya kukabidhi. Kibonde anasema ni upuuzi kuulizia samani za ofisi wewe anza kazi ya kuwatumikia wananchi badala ya kupiga blabla. Nikamshangaa Kibonde anaona ni haki kuondoa samani zilizonunuliwa kwa pesa ya umma na kumwachia mbunge mpya ofisi tupu yeye atakalia nini? Yeye hata kiwe kitu cha kijinga vipi anaunga mkono kama kinaihusu CCM. Kweli nimeamini kibonde ni kibonde haswaaaaaaaaaaaaaa! Ameiua Clouds. Kwanini wasimfukuze?
 
nadani anawaboare ahata wenzanke, nasikia Garden G Kaacha kazi kabisaaaaaa
 
Back
Top Bottom