Soma Isaya 57:1-3Kwa nini siku hizi watu hufa kabla ya wakati?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Soma Isaya 57:1-3Kwa nini siku hizi watu hufa kabla ya wakati?
Kumbe na wewe unatoka kwa wakina Bujibuji!!Ulipigwa sana kwenye msiba wa baba yangu mwaka 2002, Pumzika baba
Huo ndo ufala, nyimbo zinarekodiwa zinatembea dunia nzima,Kumbe na wewe unatoka kwa wakina Bujibuji!!
APUMZIKE kwa amani school mate! Roho za marehemu zipate REHEMA kwa Mungu! Zipumzike kwa amani!Mwimbaji mkongwe wa nyimbo za injili na Askofu wa Hossana Assemblies of God Ephraim R. Mwansasu amefariki dunia usiku wa kuamkia leo (29/08/2021). Mwasasu alikuwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu, kwa sasa msiba upo Kimara Mwisho.
Mwansasu atakumbukwa kwa nyimbo zake nyingi alizoziimba kwa mvuto wa aina yake na kutoa ujumbe mzuri kwa kila aliyesikiliza na kuona video za nyimbo hizo zilizopendwa na kupata umaarufu Tanzania na nje ya Tanzania.
Baadhi ya nyimbo za Mwasasu ni:
- Siku nikilala mauti.
- Nangojea wakati.
- Kutesa kwa zamu.
- Dunia inapita.
- Tukimaliza kazi.
- Kiama.
- Heri wenye moyo safi.
- Tutatesa milele.
- Wosia wa baba.
- Watoto wachanga.
- Wanawake.
- Maumivu ya Yesu.
Bwana Alitoa na Bwana Ametwaa Jina Lake Lihimidiwe, Pumzika kwa amani nguli wa nyimbo za injili Askofu Ephraim R. Mwansasu.
View attachment 1914996
View attachment 1915817
View attachment 1915016