Iron Lady
JF-Expert Member
- Mar 4, 2008
- 4,071
- 1,374
Umejiunga Juzi,na post yako ya kwanza ni hii,
Naona umekuja kwa jaaazba nyingi sana,nadhan umetumwa kuja kumsafisha au tuseme sijui ndie wewe yule kijana masanja?
Mbaya zaid umekuja kukashifu iman za watu na kuweka mafundisho yako ili mradi utetee hiko unachokitetea,haisaidii
Umeambiwa hizi habari ni tetesi na hao washukiwa wapo kwenye uchunguz,sasa kiwewe cha nin??
Kila mtu ale kwa jasho lake,mambo ya kuzoe kula vya haram na kunyonya wenzenu na kuwaua na madawa ya kulevya hayafai na lazima tuyakalipie,acha kumwaga mwaga povu lako hapa.
mkuu huyu kaambiwa kuna ishu JF akakimbia kuja kujiunga ili abwabwaje. kwake yeye madawa sio mambo muhimu ya kitaifa. watanzania wengine bwana.