Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

Umejiunga Juzi,na post yako ya kwanza ni hii,

Naona umekuja kwa jaaazba nyingi sana,nadhan umetumwa kuja kumsafisha au tuseme sijui ndie wewe yule kijana masanja?

Mbaya zaid umekuja kukashifu iman za watu na kuweka mafundisho yako ili mradi utetee hiko unachokitetea,haisaidii

Umeambiwa hizi habari ni tetesi na hao washukiwa wapo kwenye uchunguz,sasa kiwewe cha nin??

Kila mtu ale kwa jasho lake,mambo ya kuzoe kula vya haram na kunyonya wenzenu na kuwaua na madawa ya kulevya hayafai na lazima tuyakalipie,acha kumwaga mwaga povu lako hapa.

mkuu huyu kaambiwa kuna ishu JF akakimbia kuja kujiunga ili abwabwaje. kwake yeye madawa sio mambo muhimu ya kitaifa. watanzania wengine bwana.
 
hawana lolote wanawakamata vijana ambao hawana uhakika nao si wawakamate wale wanaotajwa tajwa sana....
 
Bongo bwana, ukiwa na pesa watasema either freemason au unga
 
unapiga show ya milioni 20 bongo? kilikua ni kiini macho kile,
 
mkuu huyu kaambiwa kuna ishu JF akakimbia kuja kujiunga ili abwabwaje. kwake yeye madawa sio mambo muhimu ya kitaifa. watanzania wengine bwana.


Wana Roho Mbaya kweli kweli hawa,

Wanashiriki katika kuangamiza kizazi cha taifa letu,sio wa kuwachekea hata kidogo Mkuu
 
Ndo maana wamarekan wanazid kutuacha mbal kimaendeleo sehem kubwa ya taifa ni vijana isipokuwa vijana haohao wakiendelea wanapigwa nyundo au maendeleo tanzania ni haram maana ukisoma hupati kazi ukijiajil unafanya biashara haram ukinusurika hapo watataka uisaidie serikali ukikataa wewe sio mtanzania jaman wote hatuwez kuwa wanasiasa wengine kudanganya hatuwez
 
Ni kawaida sana kusikia wachungaji na walokole wakijihusisha na biashara hii ya sembe,mfano mzuri ni wakati Prophet TB Joshua alipokamatwa enzi za Sani Abacha kwa kuhusishwa na biashara ya sembe.
Hata hivyo baadaye ilikuja kugundulika kuwa ilikuwa si kweli na akaachiwa,hivi majuzi juzi kaachiwa aliyekuwa mkuu wa upelelezi ktk serikali ya Abacha na akaenda moja kwa moja ktk SCOAN kumuomba msamaha TB Joshua.
 
Huyo mheshimiwa mchungaji Dr Rwakatale, wanaweza kumchungazi, lakini itakuwa ni changa la macho tu, lakini Ridhiwani HAWAWEZI kumchunguza.... labda baada ya 2015....

ukisikia uonevu ndio huo, kinyesi wanacho ndani wao wanahangaika kutafuta harufu nje, wawa wache watoto wa watu wao wanataka wawe matajiri peke yao.!
 
mbona jana dogo kazindua video kali na kumzawadia mzee gurumo gari pale serena hotel- cost ya video tu its about $30000 garama ya ukumbi na ku-hire decorator jumla ni kama 30ml za kibongo, Income yake ni shilingi ngapi???
 
Unga ndio biashara kwa sasa mjini! Itachukua muda sana kukwepa hili!
 
Mawee Masanja na wewe umeanza kujiunga na uuzaji wa dawa!..ndg wana JF tuogope kujificha kwenye biblia kufany uovu.
 
Ni mwendelezo wa Sakata la unga ambalo sasa ni janga kwa taifa letu. Orodha zinaendelea kutoka na kuwekwa wazi huku bunge likivutana kuhusu sakata hlo.

Tetesi za kutoka ndani zinasema msanii wa muziki Naseeb Abdul au Diamond ambaye alijitapa wazi mbele ya kamera za habari kuwa anamiliki ukwasi zaidi ya bilioni moja kwenye akaunti yake, nyumba 5 za thamani Kijitonyama na Mikocheni na anatumia simu 6 za thamani ambazo zipo hewani muda wote tayari amenyang'anywa hati yake ya kusafiria na baadhi ya simu zake katika mwendelezo wa uchunguzi juu yake unaofanywa na vyombo vya dola.

Msanii pia wa maigizo Masanja Mkandamizaji ambaye anadaiwa kumiliki mkwanja mrefu na nyumba za thamani kubwa mpaka magari naye tayari ametajwa kuhusika na sembe.

Episode inaendelea,tuungane katka vita hii.
Ikiwa ni
kweli atakuwa ameharibu
 
dah bongo noma!...mwakyembe u a nt serious! Mbona hutusikii kina ..... Tunackia vidagaa tu!!?
 
Back
Top Bottom