Episode ya Unga: Msanii Diamond apokonywa Passport, Masanja Mkandamizaji ndani

well said mkuu,amekuja na kukashifu dini za watu.....

Haoni kuwa yeye ndio mwenye hizo chuki binafsi,busara za ziada

zinahitajika kujibishana na watu kama hao!!!!!!
 
Mkuu The Big show anasema tujadili mambo muhimu kwa ajili ya nchi yetu, sasa najiuliza hili linalochafua sifa na taswira nzima ya nchi yetu yeye Cyan6 analionaje.
 
ah... hawa madogo ni makuli, wataje wenye mzigo...
 
Mkuu The Big show anasema tujadili mambo muhimu kwa ajili ya nchi yetu, sasa najiuliza hili linalochafua sifa na taswira nzima ya nchi yetu yeye Cyan6 analionaje.

Ajabu sana,
Usikute hawa ndio wale wacheza shoo wake kawatuma kuja kumsafisha,

Wao watulie uchunguz ufanyike,kama wanahusika itafahamika tuh,na kama hawahusiki itafahamika pia,

Kuja hapa kumwaga povu na kutoa lugha za jazba inajenga picha kwamba wanahusika,wawe wapole kwanza,haya madawa yanaua sana jamaa zetu,imetosha sasa,lazima kila anaetajwa tumwangalie kwa jicho kali bila kujali yeye ni nani,hao maboss wao na mapunda pia,lazima tuwe nao macho,wauaji hawa Mkuu...
 
Mkuu MD25 ukimkimbiza mwendawazimu aliyekuchukulia nguo zako wakati unaogelea bwawani, watakaowatazama wanaweza kupata shida kumtambua nani ni nani. Mpotezee tu.

Mkuu nimekusoma...
 
Hapo kwenye rangi mkolezo panahusika zaidi ongezea na wapambe wake. Hata kama watatoa mapovu tutasema tu na lazima kieleweke mwaka huu na naomba watanzania wote wenye mapenzi mema na hii nchi tuungane tuzidi kukaza uzi ukiona makelele yamezidi ujue kamba imeshika shingo vizuri.
 
well said mkuu,amekuja na kukashifu dini za watu.....

Haoni kuwa yeye ndio mwenye hizo chuki binafsi,busara za ziada

zinahitajika kujibishana na watu kama hao!!!!!!
Bila shaka Malkia, hata mkuu MD25 analijua hilo.
 
Wakitoka kumchunguza Masanja na Diamond, waende kwa mama Rwakatale na Ridhiwani.....!
 
Wakitoka kumchunguza Masanja na Diamond, waende kwa mama Rwakatale na Ridhiwani.....!

Huyo mheshimiwa mchungaji Dr Rwakatale, wanaweza kumchungazi, lakini itakuwa ni changa la macho tu, lakini Ridhiwani HAWAWEZI kumchunguza.... labda baada ya 2015....
 
nimesoma post zote naona mivurugano tu
wakati leo niko hapa serena naambiwa diamond anazindua video yake leo kisha kesho anaenda nairobi kutengeza tangazo la cocacola....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…