BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Lakini ndio huwa zinawasumbua europa league shkh wangu πππkuweni wakweli jamani..hivi mechi ya alaves na levante unaweza linganisha na watford v crystal palace!?
hebu weka takwimu hapa timu za epl na la liga zimekutana mara ngapi europa na matokeo yakawaje?na timu hizo ni za hadhi ipi?..pia weka tangu sheria ya bingwa wa europa anaenda ucl ianze timu ngapi kubwa za epl zimekutana na timu ndogo za la liga na zikashindwa kuzitoaCha ajabu hiyo watford na crystal ukizikutanisha na alaves na levante bado timu za spain zinaweza kuibuka washindi.
Uwa najiuliza ubora wa timu zenu uko wapi?
Timu zetu za Spain(la liga) karibia miaka kumi sasa zinawaenyesha timu zenu bora za uingereza kwenye mashindano makubwa ulaya,UCL na Europal yake.
Hata mwaka huu uwezekano wa UCL kurudi spain ni mkubwa.
ferguson au wenger hawezi kuhangaika na europa,sevilla lazima ahngaike ndiyo ndoto pekee inayoweza kutimia,nakumbuka arsenal mwaka 2000 alifungwa na galatasaray fial europa,kwa muktadha huo ligi ya uturuki ilikua boraLakini ndio huwa zinawasumbua europa league shkh wangu πππ
i tangu 1990s mwishoni,huwezi angalia la liga,serie a,budesliga ikakuvuta kama epl,ucl sio kipimo cha ubora wa ligiRecently EPL Ndio ligi BORA Duniani kila Mtu Abaki na Fikra zake..
Aah aah nakuja na data.hebu weka takwimu hapa timu za epl na la liga zimekutana mara ngapi europa na matokeo yakawaje?na timu hizo ni za hadhi ipi?..pia weka tangu sheria ya bingwa wa europa anaenda ucl ianze timu ngapi kubwa za epl zimekutana na timu ndogo za la liga na zikashindwa kuzitoa
Hata Vitz,Bongo zinauzika sana ila haimaanishi kua Vitz ndio Gari bora kuliko zingine.Ligi inayotazamwa na watu wengi ulimwenguni.
Iliyosheheni timu zenye uwezo mdogo compared to la liga teams.
Kinachoipa nguvu ni promo za waingereza na media zao.
Kwako kipimo cha ubora wa ligi ni nini?siyo recently n
i tangu 1990s mwishoni,huwezi angalia la liga,serie a,budesliga ikakuvuta kama epl,ucl sio kipimo cha ubora wa ligi
Exactly.Hata Vitz,Bongo zinauzika sana ila haimaanishi kua VItz ndio Gari bora kuliko zingine.
madrid kapgwa mara ngapi na timu za epl na ndo anaongoza kubeba uefa,barcelona(ya pep) hapangwi na chelsea mara nyingi kama anavopanga na arsenal kwa kuwa alikua hachomoki bila kubebwaAah aah nakuja na data.
Usije ukakimbia tu.
Na ukweli utabaki pale pale timu zenu zina uwezo mdogo compared to la liga teams.
Team za England zote ni mbovu,ndio maana zikikutana zinasumbuana! Ni sawa na uwape vichaa wawili mpira wacheze,ni lazima watasumbuana sana,hapo ndio utaona kua viwango vyao vipo juu kisa wana sumbuana!?ππExactly.
Ligi ya uingereza inawashabiki wengi.
Lakini imekusanya timu zenye uwezo wa kawaida ukilinganisha na timu za Spain
Nafikiri madrid alipigwa nje ndani na spurs misimu miwili iliyopitaTeam za England zote ni mbovu,ndio maana zikikutana zinasumbuana! Ni sawa na uwape vichaa wawili mpira wacheze,ni lazima watasumbuana sana,hapo ndio utaona kua viwango vyao vipo juu kisa wana sumbuana!?ππ
La liga haitazamiki ndugu,s7 inaonekana..zaidi ya games za atm,barce na madrid wakicheza wao kwa wao wengne ni uharo tu,watu hawawezi kuangalia uchafu uleExactly.
Ligi ya uingereza inawashabiki wengi.
Lakini imekusanya timu zenye uwezo wa kawaida ukilinganisha na timu za Spain
Upo sahihi kabsaTeam za England zote ni mbovu,ndio maana zikikutana zinasumbuana! Ni sawa na uwape vichaa wawili mpira wacheze,ni lazima watasumbuana sana,hapo ndio utaona kua viwango vyao vipo juu kisa wana sumbuana!?ππ
Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL
1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi.
2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Jamaa atakuwa ana mahaba sana na PepAnaongea kishabiki huyo..
Nakumbuka zama za fergie alisema ukifikisha point 86 ubingwa ni wako, siku hizi ni point za top 4Pep Guardiola kaibadilisha sana EPL
1.Kaifanya Top 4 kuwa na thamani zaidi.
2.Kafanya alama 80+ kuwa chache kutwaa ubingwa.
[emoji23][emoji23][emoji23]