EPL ndo ligi bora duniani

nani kawazuia promo ligi ya bure au bei ya chini ni laliga na league 1
 
Pele kacheza spain na italy??

Maradonna, Batistuta, Messi, Zico, Ronaldo, Romario, Rivaldo, Bebeto, Kaka, Ronaldinho, Eder, Salas, Zamoranno, Redondo, ukihitaji wengine sema tu mkuu
 

wachezajo bora wa dunia wanatoka ligi gan na hilo ungejazia hapo huyu mtoto
akakojoe alale
 

watawala wetu ndo wametushika akili but spain kuna romantic football
cyo kukimbizana kama uk
 

1.Hivi mkuu unaelewa kweli unachoongea ww?? sasa La liga na EPL ipi iko cheap?? unajua haki za kurushwa matangazo ya EPL ni kiasi gani?kama ulikuwa hujui hakuna ligi ya mpira ambayo ni expensive kuliko EPL ss unavyosema cheap sielewi hizo takwimu zko umepata wap!

2. Kama EPL ni wazuri wa kukimbia kimbia tu imekuwaje wao ndo ligi ambayo imeingiza timu nyingi Quarter final CL kuliko ligi nyingine yoyote msimu huu?? na uliopita kufikisha timu moja final? Barca bingwa wenu wa la liga leo wamebamizwa 4-0 na kutolewa CL, na timu ambayo umesema hawatumii akili hebu tuelezee ilikuwaje hapo mwalimu kashasha!!

3.Tactic za City sio za Spain ndugu yangu,tick taka asili yake ni Ajax Amsterdam (uholanzi) na zilianzia kwa legend Johan Cruyff alieyekuwa mchezaji na kocha wa zamani wa Ajax ambae alikuja kufundisha Barca na wakina Guadiola na timu ya taifa ya Spain kujifunza kwake,na kwakua barca anaitumia haina maana kwamba timu zote la liga huitumia,shida ni kwamba unataka kufanya mafanikio ya barcelona na madrid kuwa ndo mafanikio ya La liga wakati hvyo ni vitu viwili tofauti hapa tunaongelea ubora wa ligi nzima sio ubora wa Club 2 sijui.
 
Me naona usingetumia nguvu nyingi kiasi iki kumuelewesha either si mpenzi wa mpira karopoka tu au ni mshangiliaji na si mshabiki..
Mtu ana fuatilia mpira awezi ongea vitu vya ajabu kiasi icho

Mfano rahisi tu Star times wanaonyesha La liga, vipi kuhusu Epl ...!!!
 
azam pia ni bure la liga inapatikana kiurahisi
 
Mi mwenyewe nawezakaa miezi hata mi3 nikashtukizwa tu kuwa kesho kuna EL-CLASSICO ndipo nikaangalia laliga lkn huwa sihangaiki nayo kabisa maana ligi ikishaanza tu tayari ushajua timu ipi ni Bingwa, so haina mvuto wowote wa ushindani.
Hahah..Lakin cha ajabu pamoja na kuwa cheap watu hawana habari nayo! na hao wanaosema La liga ni bora unakuta wao ndo wafatiliaji wakubwa wa EPL, inachekesha sana
 
Uwingi si hoja hata duniani watu bora ni wachache,drsn wnfz bora ni wachache acheni kulinganisha utumbo wa epl na steki ya LALIGA! Kuna utofauti mkubwa sana kati ya uwingi na ubora,hata humu JF wenye hoja na mada zenye mashiko ni wachache!
 
Uwingi si hoja hata duniani watu bora ni wachache,drsn wnfz bora ni wachache acheni kulinganisha utumbo wa epl na steki ya LALIGA! Kuna utofauti mkubwa sana kati ya uwingi na ubora,hata humu JF wenye hoja na mada zenye mashiko ni wachache!

Ningekubaliana na ww kama tungekuwa tunaongelea kitu kingine ila kwenye maswala ya entertainment wingi wa kupendwa kitu ni kutokana na ubora wa hicho kitu siku zote! Ushawahi kuona wapi demu mbaya akifukuziwa na washkaji wengi kwa mfano? Watu wote duniani hupenda vitu vizuri hata kama vikiwa gharama..
 

Naamini quality uliiona jana Baada ya kile kipigo cha mbwa koko alichopokea Barcelona pale Anfield 🤣🤣
 
Kaka uko vzr sana kwa madini mazuri kichwani, unabishana kwa hoja nzuri na mifano halisi, big up Man.
 

Nadhani sasa mmeelewa uwezo wa timu za EPL msirudie tena kuifananisha na viligi vya ajabu ajabu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…