EPL: Wanaowania tuzo za Kocha Bora & Mchezaji Bora wa Msimu watajwa, Kura yako unampa nani?

Kocha bora Arteta (ushabiki wangu tu)

Mchezaji bora, Foden. Huyu dogo anakiwasha na huwa ananiboa sana maana tunaukosa ubingwa hivi hivi kwa man city kua na majini kina Halaand, jitu refu kama mlingoti.
 
COL
Cole palmer
 
Pep guardiola

 
Hili sio la kufikiria kuanzia kocha - wachezaji ni Manchester City tu usipoteze muda.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…