Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
The gunners unajipakulia minyamaKocha Arteta
Player fundi Martin Odegaard au DC
Huyu hapa kachukua Kura yangu1. Mikel Arteta - Arsenal
Goal 19 mkuu....halaand limepiga penati 6Ollie habari nyingine,goals 20 no penalty... Alexander isak pia wa moto
Kati ya Palmer, Ollie,au Alexander yeyote atakae pewa amestahili,..najua kwenye kocha watampa atakae beba kombeGoal 19 mkuu....halaand limepiga penati 6
Mwili mzima ArsnooooThe gunners unajipakulia minyama
KDB alikuwa nje muda mrefuHiyo list ni batili bila uwepo wa KDB
Kocha bora ArtetaKocha bora Arteta ,mchezaji bora Declan Rice.
KDB kafanya nini?Hiyo list ni batili bila uwepo wa KDB
COLTuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni;
1. Mikel Arteta - Arsenal
2. Unai Emery - Aston Villa
3. Pep Guardiola - Man City
4. Andoni Iraola - Bournemouth
5. Jurgen Klopp - Liverpool
View attachment 2986064
Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo majina ni kama ifuatavyo;
1. Phil Foden - Man City
2. Erling Halaand - Man City
3. Martin Odegaard - Arsenal
4. Cole Palmer - Chelsea
5. Declan Rice - Arsenal
6. Ollie Watkins - Aston Villa
7. Alexander Isak - Newcastle
8. Virgil Van Dijk - LiverpoolView attachment 2986076
Haya mwana JF, mfuatiliaji wa EPL kwa mtizamo wako, Yupi ni mchezaji wako bora wa msimu na kocha bora wa msimu?
Lete maoni yako…
Cole palmerTuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni;
1. Mikel Arteta - Arsenal
2. Unai Emery - Aston Villa
3. Pep Guardiola - Man City
4. Andoni Iraola - Bournemouth
5. Jurgen Klopp - Liverpool
View attachment 2986064
Pia kuna orodha ya wachezaji wanaowania tuzo ya Mchezaji Bora wa Msimu pale EPL ambapo majina ni kama ifuatavyo;
1. Phil Foden - Man City
2. Erling Halaand - Man City
3. Martin Odegaard - Arsenal
4. Cole Palmer - Chelsea
5. Declan Rice - Arsenal
6. Ollie Watkins - Aston Villa
7. Alexander Isak - Newcastle
8. Virgil Van Dijk - LiverpoolView attachment 2986076
Haya mwana JF, mfuatiliaji wa EPL kwa mtizamo wako, Yupi ni mchezaji wako bora wa msimu na kocha bora wa msimu?
Lete maoni yako…
Tuzo ya Kocha bora wa msimu kwa EPL kuna majina matano, ambayo ni;