Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 16,388
- 51,970
Basi sawa 😃😂😂😂🤣🤣🤣 nyie pisi kali ni either macho matatu au hizo s23 mpwa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Basi sawa 😃😂😂😂🤣🤣🤣 nyie pisi kali ni either macho matatu au hizo s23 mpwa!
Hongera sana mkuuNashukuru Mungu kwa hili la kuwa na tamaa ya vitu sina licha ya kuwa na kipato kinachonikimu kufanya hvyo lakini mimi daima dumu ni mtu wa kupuuza vitu vya MUHIMU na kuvipa vipaumbele vitu vya MSINGI
ni kweli Ila minimum ni 48 hours kwa kuwa Ile Tamaa ambayo ilikuwa created by brain na hormones inakuwa imepita Muda wake, lakini hata mwezi au wiki sio mbaya 🤝Two days ndogo sana huwa jambo unatakiwa ufikirie wiki mbili ukiona bado lina sumbua akili basi una haki ya kununua na inatakiwa iende hadi mwezi mmoja
point ya msingi hii, asante kakaSehemu nyingine ambapo waweza nunua kitu bila kutarajia ni kwenye maduka makubwa ya bidhaa yaani super market. Tahadhari Sana uendapo katika maduka kama hayo. Ni vyema ukiwa umeandika orodha ya vitu unavyovihitaji ambavyo utavinunua na kuachana kabisa na vile ambayo hukuviorodhesha.
asanteKijana,umenena vyema…
Brain,inayozalisha tabia ndizo znazotusukuma kufanya maamuz kwenye eneo la fedha ….imeelezwa bayana kwenye kitabu cha psychology of money tabia ndio tatizo
Tunaposhindwa kuthibiti tabia zetu,hatuna utawala juu ya fedha zetu
imekaa vizuri hii rafiki yangu.Mimi principle yangu ya kununua kitu huwa ninanunua baada ya kusave pesa ya mshahara wa mwezi uliyopita.Iko hivi kama kunakitu cha bei kubwa ninakitaka, huwa ninasubiri hadi mwisho wa mwezi husika,nikishaingiziwa mshahara basi kile kiasi cha pesa nilichosave mshahara uliyopita ndo naenda kuwithdraw ndo nanunua hicho kitu.Kwa mtindo huu account yangu haikosi ki akiba endapo nitapata dharura.