NetMaster
JF-Expert Member
- Sep 12, 2022
- 1,454
- 4,925
Ukizifanya hakikisha una kinga aidha ya Muumba, Ndumba, Bosi, n.k.
Vitu vinavyoweza kufanya wengine kutaka kukuharibia
Over archievement: Yani unakuwa ni kama toleo la mtu mzima la mwanafunzi yule anaependa kumkumbusha mwalimu kutoa homework, huko kazini ukiwa mchapakazi sana kuzidi wengine yani unafika kazini kwa muda, ukifika unaanza kazi mapema, unapiga overtime, n.k. hapa hata bosi anaanza kukutupia jicho na kuwaona wengine wavivu, hii inaweza kuwa hatari kwako.
Chawa wa bosi: Usiwe kama Mwijaku / Babalevo kwa bosi, wengine wanaona ni kama wewe ndio unapeleka taarifa mbovu kwa bosi, pia mkiwa ofisi moja wanakuona kama vile spy.
Kuwa snichi: Ni heri wakuhisi tu kwamba unasnichi lakini wakipata ushahi kwamba ni kweli basi utapata wakati mgumu.
Kujitenga: Yani hata uwe na masters huku wenzako wana elimu ya diploma usije kuthubutu kufanya hili kosa, jichanganye nao tu, hapo kazini unaweza kuzeekea sio vizuri hata kidogo kuanza kuishi vibaya, ni kama kwenye misiba tunakula hata kukiwa na wali bokoboko, sio tuna enjoy bali ni kuwa wamoja.
Ukorofi ama kugha chafu: Hakuna watu waopenda haya mambo