Kyodowe
JF-Expert Member
- Mar 6, 2013
- 1,236
- 1,368
Sure, lakini kubwa zaidi jitahidi kuepuka mambo yanayokujengea taswira ya ubinafsi au upendeleo usiostahili
Katika ajira sehemu yenye watu wengi Fanya majukumu yako kadri yanavyopaswa kufanywa, yasiyokuhusu na kutokuwa na athari yeyote kwako yapuuze, urafiki na wafanyakazi wenzako unakoma pale masaa ya kazi yanapokwisha baada ya hapo kila mtu ashike njia aende zake na kubwa na la muhimu zaidi BOSS SIO RAFIKI YAKO.
Ukifuata hayo maisha yako ya ajira yatakuwa na amani kabisa.