Epuka kuhifadhi vitu hivi kwenye fridge

Epuka kuhifadhi vitu hivi kwenye fridge

Nyanya mara nyingi kwenye joto kali zinaharibika upesii labda uwe unanunua kila siku gengeni wengine hatuwezi kwangu mie nanunua nyanya na nahifadhi kwenye fridge zinakaa hata wiki 2 au zaidi nadhani ni jinsi ya kuhifadhi.Kwenye matunda hasa tikiti nakata naweka kwenye makontena hayaharibiki. Mbogamboga nazifunga vizuri kwenye mifuko ile milaini naweka kwenye frigde mboga kama mchicha,chinese, mnafu haziharibiki mapema ziweza kudumu wiki pia.
 
Hivi nanasi huwa linahifadhiwa vipi? Ukiweka kwenye friji linaharibika ukiliweka tu kwenye kabati linaharibika, linahifadhiwaje?
Mie nakata kisha nawekwa kwenye kontena na kufunga vizuri zisipitishe hewa naweka kwa frigde.
 
Lina hatari gani?
Madhara ya Nanasi ni Mabaya Sana when you eat Pineapple na wewe lina kueat you back so i have to protect you si unajua Tarehe Moja sio Mbali nianze kukupa vizawadi zawadi

12923281_1366990676650376_5107924761231447251_n.png
 
Jamani nyanya? So tutanunua kila siku gengeni? Tikiti lenyewe mbona huwa haliishi kwa wakati mmoja? Mweee. T
Hili suala linategemea wapi mtoa mada alipo. Kama unaishi nchi za joto kali lazima friji itumike kuhifadhi vyakula vyenye kuathirika na joto. Lakini kwa wenzetu wanaoishi nchi za baridi, hali ya hewa ya hiyo sehemu inajitosheleza kuhifadhi chakula kisiharibike.
 
Madhara ya Nanasi ni Mabaya Sana when you eat Pineapple na wewe lina kueat you back so i have to protect you si unajua Tarehe Moja sio Mbali nianze kukupa vizawadi zawadi

12923281_1366990676650376_5107924761231447251_n.png
Aiseee basi litanila hadi linimalize, make nadhani ndio my favorite tunda, napenda sana nanasi
 
Fridge ni muhimu sana kwa vitu vinavyoY kuharibika,mfano nchi za middle east huwa inafikia 50 temperature sasa na kule utawaambia nini? Wavitunze sehemu ya joto visiharibike? Ama
 
msiweke mayai fresh pia kwenye fridge.hasa mayai yasiyokuwa sealed. watu husahau mayai hutoka kwenye vinyeo vya kuku,na huwa hayaoshwi. kama vilivyo vinyeo vyote duniani, mayai pia huwa na masalia ya uchafu ya yalipotoka.mayai ili yasiharibike huwa hayaoshwi.

kufuatia hilo, msiwe mnashika mayai fresh na kula chakula.
 
Back
Top Bottom