Epuka kuhifadhi vitu hivi kwenye fridge

Epuka kuhifadhi vitu hivi kwenye fridge

Hapa kuna kitu nimejifunza,Ni kweli kabisa matunda mengi sana huharibika yakiwekwa kwny fridge.Apples na machungwa ndio huweza kukaa kwa muda mrefu .Hata watermelon ukilikata ukaliweka umeme ukikatika tu linaharibika hapo hapo. Vitu vinavyodumu kwa mda mrefu kwny fridge ni vimiminika tu.
 
msiweke mayai fresh pia kwenye fridge.hasa mayai yasiyokuwa sealed. watu husahau mayai hutoka kwenye vinyeo vya kuku,na huwa hayaoshwi. kama vilivyo vinyeo vyote duniani, mayai pia huwa na masalia ya uchafu ya yalipotoka.mayai ili yasiharibike huwa hayaoshwi.

kufuatia hilo, msiwe mnashika mayai fresh na kula chakula.
Mayai usipoyaweka kwenye friji yanapungua yale maji yake, ila yakikaa kwenye friji freeesh hata mwezi yanakua vizuri tu
 
Asee usiweke kitu chchote kwenye fridge, hasa kama kwako umeme hamna na kuna fridge tuu, km upo tumia mifuko ya karatasi kuweka vitu perishables
 
Nyanya?mbona nyumbani apa wananua nyanya sado wanazisanga zote zinaifadhiwa kwenye fridge.eeh tumekwisha
 
Back
Top Bottom