Epuka kuhifadhi vitu hivi kwenye fridge

Epuka kuhifadhi vitu hivi kwenye fridge

Nifah & Evelyn Salt mnajua lakini kama nanasi linaharibu ujauzito?
Na pia linatumika sana na wauzaji mishkaki kulainishia nyama, yani wanakamua maji ya nanasi alafu wanarowekea nyama, inakuwa laiiiniii....
So lina matumizi mengi...
Enjoy
 
asali ni chakula pekee kisichooza, mbona kuna expiry date
 
Nifah & Evelyn Salt mnajua lakini kama nanasi linaharibu ujauzito?
Na pia linatumika sana na wauzaji mishkaki kulainishia nyama, yani wanakamua maji ya nanasi alafu wanarowekea nyama, inakuwa laiiiniii....
So lina matumizi mengi...
Enjoy
linaharibu ujauzito????mmmh serious???
 
Hivi nanasi huwa linahifadhiwa vipi? Ukiweka kwenye friji linaharibika ukiliweka tu kwenye kabati linaharibika, linahifadhiwaje?
Salaam Mkuu,
Zipo special bags za kuhifadhia matunda zauzwa pale kariakoo kwenye maduka ya vyombo {Jirani na soko dogo la nje}.. ni nzuri sana na matunda yanaweza kaa angalau siku tatu ama nne bila kuharibika ama ''kurojoka'' jaribu kutumia hizo mifuko. ni nzuri sana na hata ukimaliza kutumia waweza osha kwa matumizi ya wakati mwengine...
 
Back
Top Bottom