Epuka kuhifadhi vitu hivi kwenye fridge

Duh! Hapa kwenye mayai sijui itakuwaje maana huwa nahifadhi kwenye friji.
 
Acheni mbwembwe sasa jokofu litumike kwa kazi gani mbona kila kitu mnakipiga ban?
 
Tumboni [emoji4]
ha ha ha nshapata njia kumbe nlikua nakosea naweka bila kufunika, msimu ukifika nitanunua ndoo ndogo nayamenya naweka kwenye friji nafunika.....
kila dakika napitia kama panya vile
 
aya kaongea mtu km mtu na si mung..ntaeka km kawa toka nianze kuweka cjaona walag kutokea athar yyte
 
ha ha ha nshapata njia kumbe nlikua nakosea naweka bila kufunika, msimu ukifika nitanunua ndoo ndogo nayamenya naweka kwenye friji nafunika.....
kila dakika napitia kama panya vile
Mimi msimu wa nanasi nafurahi kinoma maana muda wote lipo kwenye fridge la baridiiiii
Uwiiiiiii napenda nanasi sana.

Ujue nilikuwa nafanyaje?
Nanunua kama ma3/4 yaani la kuliwa siku ya kwanza linakuwa bivu,la siku inayofuata limeiva kidogo,lingine bichi kidogo na lingine bichi kabisa.
So yanaiva kwa kupishana
Hahahahahaaaaa
Chezea utamu wa nanasi wewe?Mbinu hazikosekani.

Hata hivyo nanasi likizidisha siku 2 kwenye fridge ni majanga tu.
Nitaendelea na mbinu yangu ileile [emoji4]
 
Umefurahiiiii eti, nyie wa masaki eeh
Hapana mkuu,mimi mbona wa uswazi tu?
Nimefurahi tu kwa jinsi ulivyoandika comment yako ndio maana nimekupa like.
Nothing else [emoji135]
 
Hapana mkuu,mimi mbona wa uswazi tu?
Nimefurahi tu kwa jinsi ulivyoandika comment yako ndio maana nimekupa like.
Nothing else [emoji135]
Good , kumbe u mwenzangu ki mazingira , lol
 
hii nayo swafi nitafanya hivo pia, ila hata kulifunika linakaa zaidi ya siku mbili na utamu ule ule
napenda sana nanasi
 
Nyanya ukifadhi kwenye friji hakikisha umeme haukatiki au friji haizimwi maana friji ikikosa umeme tu nyanya zote zinaharibika, huwa zinateneza maji kwaiyo friji ikikosa tu ule ubaridi nyanya inatepeta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…