Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
- #241
Tatizo sio kutoa hela, tatizo uyo mwanamke anaprovide nini in return ya izo hela?.Mwanamke ambaye hujamuoa lazima umuhudumie na kila mwanamke ana price tag tofauti ni wewe umemchagua yupi?!!
Ukioa kuna mahari, ukienda riverside kuna cash (nipe nikupe) ukitaka boyfriend & girlfriend unakutana na “Babe nikwambie” kifupi wanawake wote bila pesa ni bora ukakwichy cousin’s wako bro 😹
Kama mnajiona mnachotoa(sex) kinalingana na kile ambacho anatakiwa kutoa mwanaume(hela) mbona ikifanyika trading places yaani wewe utoe hela na mwanaume akupe mapenzi hamtaki.
Kama mnaamini kila upande unatoa equal output kwanini hamtaki trading places yaani wewe utoe hela mwanaume atoe mapenzi.