Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Kifikra ni sawa lakini kivitendo huwezi kuithibitisha ndio maana nikakuambia unapotuletea hoja usidhani sisi wote tuko rika sawa!!
Kuna watu tumewazidi ukomavu wa utafutaji na kuna watu wametuzidi yaani umetuletea hoja ambayo inabaki kuwa nadharia tu na haina uhalisia wowote
Kwamba mwamba ana pisi 15 anazila kwa mwezi na zote anazipa pesa na bado yuko sawa.
Tuichambue kimkakati
Mwezi kwako ni huu huu wenye siku 30 au kwako una siku 180?
Kama ni thelathini which means mwamba anavuka siku moja tu kesho kutwa anakula bebe mpya na kuipa pesa.
Kama anawapa buku yaani ya kumlala na nauli na kula ikiwa ndan ya hiyo hiyo buku sawa mjadala naufungia hapa.
Kijana acha hizo swaga wenzio wanavuta bangi moshi wanapuliza nje wewe unavuta halafu unaziba pua na mdomo ili moshi uende ubongoni ona sasa mawazo yako yalivyo halafu unatuletea mboyoyo eti hiyo ni exceptional case? Unatuchukuliaje kwa mfano? Kwamba hatujawahi kushika pesa hivyo tuamini kuwa kuna watu wamezishika na wanafanya hivyo na wanaendelea kupandisha chati zao za uchumi?
Duh Mara bangi,Mara mboyoyo, Mara unatuletea nadharia, Mara huna hoja ya msingi Mara ooooooo😂😂 Dah we jamaa ni compliketa sana.
 
Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success

Usijidanganye kwamba ni marafiki tu, siku zote mwanamke anachokiona kwa mwanaume ni masilahi tu, namba yako ipo kwenye simu yake kimkakati, soon or later utapigwa mzinga tu, sawa kama hauna au hautaki kumpa utamtosa tu lakini mazoea ya kuombaomba yanapojirudia rudia inakua kero.

Maisha yako kiuchumi yatakua na unafuu na yataimarika zaidi ukijiepusha na wanawake. A man who has too much attention from women is at constant risk of being distracted, manipulated and taken down. Don't fooling yourself that you're handsome or attractive man, the truth is all those women sees you as a resource not as human being.

Kwa kipindi chote ambacho bado u kijana unaepambana kujikwamua na umasikini basi mwanamke awe kitu cha mwisho kabisa kukifikiria. Don't do any financial stupidity to impress a woman.

Wanawake ni parasite, hakuna namna utakua karibu nao bila mfuko wako kutoboka, wanakuja kwa ajiri ya kuchukua tu sio kuchangia.

Halafu sasa mwanamke uyo anayetaka kukubesha huo mzigo hakudai, hajakufanyia kazi yoyote, hajawahi kukupa ushauri chanya wala ramani ya mchongo wa kupiga pesa, out of nothing anajiona tu ana haki ya kunufaika na mfuko wako, this is totaly bullshit.

Kuna hitaji la wanawake wa Tanzania kufanyiwa consultation, it makes no sense mtu anajipa haki ya kupata gawio kutoka kwenye hela ambayo hajashiriki kuitafuta.

Mwanamke hana output yoyote kwenye maisha yako kaa nae mbali kwa sababu hakuna utakachonufaika kutoka kwake zaidi ya kukupotezea muda na hela tu.

A woman is liability in your life, more women in your life more liabilities.
Akishalupa utelezi lazima ugharamie fogo
 
Well said CHIEF 👏 UPO SAHIHI KABISA
I experienced this siku zilizopita,Nina marafiki wawili wa tatu wa kike yani ile ile swaiba swaiba mambo vipi tena nayo ilisababishwa na mazingira yavkazi.
Ila mazoea takavuka mipaka hadi kuanza kuombwa vocha(Mar kwa mara).Mwisho ikabidi nikatae mazoea maana maana ni LOSS LOSS situation 😅 😆 😑
 
Kadiri unavyokua na idadi kubwa ya wanawake kwenye circle yako iwe kimapenzi au kirafiki ndivyo unavyojiandalia maisha ya kuishia kwenye umasikini. For every 10 women you attract into your life only one genuine woman might respect and value you, other nine just want a piece of your success

Usijidanganye kwamba ni marafiki tu, siku zote mwanamke anachokiona kwa mwanaume ni masilahi tu, namba yako ipo kwenye simu yake kimkakati, soon or later utapigwa mzinga tu, sawa kama hauna au hautaki kumpa utamtosa tu lakini mazoea ya kuombaomba yanapojirudia rudia inakua kero.

Maisha yako kiuchumi yatakua na unafuu na yataimarika zaidi ukijiepusha na wanawake. A man who has too much attention from women is at constant risk of being distracted, manipulated and taken down. Don't fooling yourself that you're handsome or attractive man, the truth is all those women sees you as a resource not as human being.

Kwa kipindi chote ambacho bado u kijana unaepambana kujikwamua na umasikini basi mwanamke awe kitu cha mwisho kabisa kukifikiria. Don't do any financial stupidity to impress a woman.

Wanawake ni parasite, hakuna namna utakua karibu nao bila mfuko wako kutoboka, wanakuja kwa ajiri ya kuchukua tu sio kuchangia.

Halafu sasa mwanamke uyo anayetaka kukubesha huo mzigo hakudai, hajakufanyia kazi yoyote, hajawahi kukupa ushauri chanya wala ramani ya mchongo wa kupiga pesa, out of nothing anajiona tu ana haki ya kunufaika na mfuko wako, this is totaly bullshit.

Kuna hitaji la wanawake wa Tanzania kufanyiwa consultation, it makes no sense mtu anajipa haki ya kupata gawio kutoka kwenye hela ambayo hajashiriki kuitafuta.

Mwanamke hana output yoyote kwenye maisha yako kaa nae mbali kwa sababu hakuna utakachonufaika kutoka kwake zaidi ya kukupotezea muda na hela tu.

A woman is liability in your life, more women in your life more liabilities.
Hatari hii vita ni kali sana...!
 
Back
Top Bottom