Natafuta Ajira
JF-Expert Member
- Mar 25, 2020
- 9,016
- 24,650
- Thread starter
-
- #241
Tatizo sio kutoa hela, tatizo uyo mwanamke anaprovide nini in return ya izo hela?.Mwanamke ambaye hujamuoa lazima umuhudumie na kila mwanamke ana price tag tofauti ni wewe umemchagua yupi?!!
Ukioa kuna mahari, ukienda riverside kuna cash (nipe nikupe) ukitaka boyfriend & girlfriend unakutana na “Babe nikwambie” kifupi wanawake wote bila pesa ni bora ukakwichy cousin’s wako bro 😹
Wapi tumekataa?!!Tatizo sio kutoa hela, tatizo uyo mwanamke anaprovide nini in return ya izo hela?.
Kama mnajiona mnachotoa(sex) kinalingana na kile ambacho anatakiwa kutoa mwanaume(hela) mbona ikifanyika trading places yaani wewe utoe hela na mwanaume akupe mapenzi hamtaki.
Kama mnaamini kila upande unatoa equal output kwanini hamtaki trading places yaani wewe utoe hela mwanaume atoe mapenzi.
Kikubwa pesa utoe halafu hiyo mnato ni kujifariji tyuu.!!Vibinti vya elf 2005 kuja mbele, price tag yao ndogo, halafu papuchi mnato 😋 Lamomy
Huyo dish anatafuta umaarufu kwa style yake hata usihangaike kumjibu kwa umakini hivyo siku nyingine, we mpe majibu mafupi ya kumpandisha kisukariWapi tumekataa?!!
Hiyo mbona ndio nzuri na inafanyika sana!! 😹😹
Eti mahi Kapeace kuna mwanamke anakataa huduma huko tumnyang’anye kadi ya uwanachama? 🤣🤣
Nyie ndio wabishi mnaosema huduma apewe na baba yake wakati ngono kante kafanya na wewe!!
Ukwelii mchunguu!
Iko hivi mwanamme ni ngumu Sana kumuomba msaada wa kifedha mwanamkee, lakin mwanamkee akiomba msaada wa kifedha kwa mwanamme ni rahisi Sana kupata.
Imagine wamekuomba watano na umewazingatia wote ili kulinda brand yako, matokeo yake watakudhurumu na kukuacha maskini😂.
Huo ndio uanaume blood hakuna kumuonea mwanamke huruma et sababu ya K huo usenge sanaLipo moja hivi likaja kwangu kuchukua pesa kwaajili ya kwenda kuonyeshea kwenye kikundi ili lipewe mkopo sasa nikalipatia 250k ili akileta alete jumla 310k means faida yangu 60k si akapeleka huko zikamezwa halafu hakupewa mkopo akaambiwa kuwa kuna vigezo hajatimiza..
Sasa akarudi kwangu kunieleza utumbo huo!!! Kama kuna siku nilitamani kuua pisi kali ni siku hiyo kichwa iliwaka moto nikawa namtazama sioni ni kitu gani nimfanye haraka ambacho kitafidia ile pesa.
Sasa alichonikera ni kuniambia kuwa kwanza huoni napambana sana halafu mi ni mwanamke kwani kuna siku nishawahi kukuangusha? Si unanipaga narudisha bila shida yoyote?
Yaani alipotaja jinsia yake ikawa ni kama amenisanua hivi maana ni kama nilikuwa nimesahau kuwa ni mwanamke..
Nilimtukana matusi ya nguoni mpaka watu wote ambao wanatufahamu wakakusanyika wakawa wananishangaa wakijiuliza nimepatwa na nini? Wakawa wanatamani kuingilia ugomvi ila wakisikia ni masuala ya pesa hakuna anaetaka kuhoji tena wanabaki kimya na wakimuangalia mlengwa kaduwaa tu kapanua mdomo.
. Ni kama haamini kuwa ni mimi yule yule ambae siku zote naongea na kucheka nae.
Ila aliponigusa pabaya ni kuniletea mzaha kwenye pesa zangu akitumia jinsia yake kama kigezo cha kujitetea..
Ilibidi afunge biashara kwanza akaitafute pesa yangu baada ya wiki mbili ndio akaja nayo.
Tena siku aliyoipata alinipigia simu usiku kunitaarifu kuwa kesho tukutane mapema amepata pesa yangu tayari nikamjibu poa.
Sasa ushaowa mkuu bado unaangaika na wanawake wa pembeni wanini wakati tayari pussy ni uhakika muda wowote hizi shida nyingine wanaume tunajitakia mimi nikishaowa kugonga tena madem wa nje bac unless mke wangu amenikwaza siwez kuharibu pesa kulipia Lodge na posho nimpe wakati nina mke nyumbani daah hii kitu sitawezaUmenena vyema mkuu.
Ila mimi kwangu pesa ya guest house na malipo baada ya shughuli ndy inaniuma zaidi kuliko kuhonga mwanamke.
Nilipokuwa single nili enjoy sn aisee.
Nikimvuta msichana gheto ,chips kuku namaliza shughuli ,
ila kwa sasa nina family naumizwa sn na pesa za guest house .
Wanaume tupunguze wanawake wa pembeni wanaleta ufukara.
Huna akili wewetafuta ajira tu brother utaacha kulalama
Huyo mwanaume ambaye hatongozi wala hana vimada nje alikwisha chukuliwa na gharika ya Noah .Sasa ushaowa mkuu bado unaangaika na wanawake wa pembeni wanini wakati tayari pussy ni uhakika muda wowote hizi shida nyingine wanaume tunajitakia mimi nikishaowa kugonga tena madem wa nje bac unless mke wangu amenikwaza siwez kuharibu pesa kulipia Lodge na posho nimpe wakati nina mke nyumbani daah hii kitu sitaweza
Wanaume wengi wa JF wanapenda tetea hoja na ku-like comments za wanawake kwa malengo fulani hiviMkuu nimekujibu uko juu, fungua izo thread jadiri kilichoandikwa, kutaka kumjadiri alieandika ni utoto. Hao wakina dada unaotafuta support yao watakushushia heshima tu., they are very cheap for this argument, we angalia michango yao tu utajua uwezo wao wa kufikiri, ndio maana hata mimi nimewapuuza.
Kati ya mimi na wewe nani dish? Nani mwenye hoja zinazohitaji kujibiwa kwa umakini? yaani mimi nitafute umaarufu kupitia wewe na uyo kiazi mwenzako kweli.!Huyo dish anatafuta umaarufu kwa style yake hata usihangaike kumjibu kwa umakini hivyo siku nyingine, we mpe majibu mafupi ya kumpandisha kisukari
Mwanawane ndoa inafika hatua mnazoeana inabaki kutazamana na kufocus kwenye mambo ya msingi tu kama watoto na misingi mingine ya maisha.Sasa ushaowa mkuu bado unaangaika na wanawake wa pembeni wanini wakati tayari pussy ni uhakika muda wowote hizi shida nyingine wanaume tunajitakia mimi nikishaowa kugonga tena madem wa nje bac unless mke wangu amenikwaza siwez kuharibu pesa kulipia Lodge na posho nimpe wakati nina mke nyumbani daah hii kitu sitaweza
Daah mbona kaziMwanawane ndoa inafika hatua mnazoeana inabaki kutazamana na kufocus kwenye mambo ya msingi tu kama watoto na misingi mingine ya maisha.
Lini umeolewa au ndo story za furahisha gengeMimi ninacho cha kumpa mwanaume wangu sababu ngono akiitaka hata kwa malaya riverside ataipata…!!
Kuna kuumwa namuhudumia, kuna kuporomoka kiuchumi nasimamia show, matatizo ya nyumbani kwao mimi ndio waziri wake mkuu namuwakilisha anapokuwa safarini… zaidi namuhudumia kuanzia chakula cha kumboroshea afya yake ambayo anatamba nayo..! Na mengineyo mengi
Mwanamke akikusema vibaya au kukuponda na kukushusha basi wewe ndo mwenyewe dume OG yani umemshinda kuijasusi ila ukiona unasifiwa sijui Jasiri, gentlemen mara muelewa na upuuzi mwingine ujue unaandaliwa ulainike tayari kwa kupigwa mapigo mabaya kabisa ya Wing Chuu.Acha Woga
Nop, as a man some times you need to appreciate when your fellow is fedup in your relation, coz we dont value things in same or one way.Daah mbona kazi
Kanuni ya mahusiano mtu ukiielewa tu basi haitajalisha ni nani uko nae kwenye mahusiano maana kanuni yenyewe itakuwa inakutune tu kuwa vile inatakiwa kama ni b*tch you only consider her for f*cking and giving her less.Tatizo sio kutoa hela, tatizo uyo mwanamke anaprovide nini in return ya izo hela?.
Kama mnajiona mnachotoa(sex) kinalingana na kile ambacho anatakiwa kutoa mwanaume(hela) mbona ikifanyika trading places yaani wewe utoe hela na mwanaume akupe mapenzi hamtaki.
Kama mnaamini kila upande unatoa equal output kwanini hamtaki trading places yaani wewe utoe hela mwanaume atoe mapenzi.
Inategemea. Ukiwa Mr nice Guy utahonga hadi boksa.Ukwelii mchunguu!
Iko hivi mwanamme ni ngumu Sana kumuomba msaada wa kifedha mwanamkee, lakin mwanamkee akiomba msaada wa kifedha kwa mwanamme ni rahisi Sana kupata.
Imagine wamekuomba watano na umewazingatia wote ili kulinda brand yako, matokeo yake watakudhurumu na kukuacha maskini😂.