Epuka kuwa na circle kubwa ya wanawake

Duh Mara bangi,Mara mboyoyo, Mara unatuletea nadharia, Mara huna hoja ya msingi Mara oooooooπŸ˜‚πŸ˜‚ Dah we jamaa ni compliketa sana.
 
Duh Mara bangi,Mara mboyoyo, Mara unatuletea nadharia, Mara huna hoja ya msingi Mara oooooooπŸ˜‚πŸ˜‚ Dah we jamaa ni compliketa sana.
AKili nyepesi kwao iko wazi hivyo kuona kila kitu ni complications mkuu haupingwi.
 
Akishalupa utelezi lazima ugharamie fogo
 
Well said CHIEF πŸ‘ UPO SAHIHI KABISA
I experienced this siku zilizopita,Nina marafiki wawili wa tatu wa kike yani ile ile swaiba swaiba mambo vipi tena nayo ilisababishwa na mazingira yavkazi.
Ila mazoea takavuka mipaka hadi kuanza kuombwa vocha(Mar kwa mara).Mwisho ikabidi nikatae mazoea maana maana ni LOSS LOSS situation πŸ˜… πŸ˜† πŸ˜‘
 
Hatari hii vita ni kali sana...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…